Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

huu anaowatesa bado ni good hajafika hata better siku akitoa best mtajitoboa masikio
kumbe kiba kashatoa his best
Acha uchawi.
Alafu thubutuuuuuu!! Utasubiri sana.
 
kwa matusi mashabiki wa kiba lazima nitasubiri
Kuna anaewafikia hata robo kwa matusi nyie!! Kweli nyani haoni.......
Umeshindwa kutumia hata akili ndogo tu katika hilo kung'amua?
 
Kuna anaewafikia hata robo kwa matusi nyie!! Kweli nyani haoni.......
Umeshindwa kutumia hata akili ndogo tu katika hilo kung'amua?
muulize wizkid
 
Akili za mashabiki wa kiba ni kama zipo karibu na m......undu zimeasilika na harufu ya mavi maana wanaharibu wao afu wanamsingizia mwingne WTF......am out

Mbona mkiharibu mnapend sana kuhusisha mashabiki wa domo na upumbavu wenu nyie c ndo mlikuw mnakesha kulalamika kupokwa ushindi kwny page ya wiz asa iv mnageuza kibao kuwa ni mashabiki wa domo....akili zenu ndogo sana kama boss wenu pumbavu

Daah hao jamaa kwa kutukana tu hawajambo nahisi wiz hatasahau
Wacha we!!!
 
Sidhani mtu aliyetumwa Na alikiba anaweza kujisema we are sent by Alikiba
Ni kweli, inahitaji akili ndogo sana kulitambua hilo, ila watu wamekomaa tu.
 
serikali jamani fungieni ali kiba anatufanya tunatukanwa bure
 
Ally kiba umetuaibisha sana
mimi ndio napata zaidi aibu
Alikiba hahusiki hapo, na sijawahi kusikia anafanya siasa za maji machafu kama hizo za kutukana mtu
Huyo mtu kaamua kivyake kutukana wizkid, sheria ya makosa ya mtandao itafunga wengi
 
Hii nayo kwetu imekuwa mjadala na hilo ni dongo moja tu limerushwa, vp ninyi mlivyotukana kwao nao walianzisha mijadala namna hii!
Nimeanza kuuelewa utafiti uliotolewa ktk gazeti la mwananchi kuwa tanzania mnaongoza................
 
Hii mitandao itafanya watu wakane uraia wao wakiwa ugenini,matusi gani hayo tena kwa ujingaujinga.
 
Back
Top Bottom