brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Wizkid au Star boy imethibitika anatoka
kimahaba na rafiki karibu wa familia ya Kim Kardashian aitwae Justin Skye
Wizkid amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kuweka picha ya mrembo huyo na kuandika maneno yanayoashiria _ kuwa wao ni wapenzi
Justin Skye na wadogo zake Kim Kardashian