Wizkid amtosa Shilole, apata mpenzi mpya kwao na akina Kim Kardashian

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Wizkid au Star boy imethibitika anatoka
kimahaba na rafiki karibu wa familia ya Kim Kardashian aitwae Justin Skye

Wizkid amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kuweka picha ya mrembo huyo na kuandika maneno yanayoashiria _ kuwa wao ni wapenzi

Justin Skye na wadogo zake Kim Kardashian

 
Hebu wataalamu wa picha tuwekeeni side by side za dada shishii beebii na hiko chumaaa..tufanyee visual analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…