Nakupendea hapo tu Nifah,sio mnafiki na kwa sasa umekubali kuwa DIAMOND ndio wakulinganishwa na level za kina Wizkid na si mwingine kwa TZ hii. Japo umeongea kwa kuzunguuuuuuka na watu wengi hawata kuelewa.Eeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
Yap nashukuru mkuu.
huyo nifah alishawahi kuchepuka na ali kibahv alikukoseaga nini mume wa mtu hyo jaman, yn wew usipomdiss sijui unapungukia nin khaa, unamtaka?
Place davido into that situation.Hahahahaha napata picha.
Unaonekana kanafki kwel af kembambaaaaaaEeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
Leo umenifurahisha sana mtani kwa kuwataja watu wa hadhi ya Diamond.Eeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
Eeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
*************************
Mbona unawashwa hivo, sijaona mahali anazungumziwa Diamond kwenye hiyo post
Umeniwahi NifahEeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
Jayz wa Mbagala au?Acha majungu ndomana wabongo amuendelei kama diamond anauwezo wa kufanya collabo na Jay z itakuwa show
Wa Daa katika ubora wenuhv alikukoseaga nini mume wa mtu hyo jaman, yn wew usipomdiss sijui unapungukia nin khaa, unamtaka?
Nakupendea hapo tu Nifah,sio mnafiki na kwa sasa umekubali kuwa DIAMOND ndio wakulinganishwa na level za kina Wizkid na si mwingine kwa TZ hii. Japo umeongea kwa kuzunguuuuuuka na watu wengi hawata kuelewa.
huyo nifah alishawahi kuchepuka na ali kiba
Hahahaha ndo uzuri wa jf ukose cha kukuchekesha utakuwa na matatizo ya mbavu au mshipa wa kicheko ulishakata mawasiliano na hulijui hiloUnaonekana kanafki kwel af kembambaaaaaa
Jay Z wa tandaleAcha majungu ndomana wabongo amuendelei kama diamond anauwezo wa kufanya collabo na Jay z itakuwa show