Wizkid and Chris Brown on one stage

Wizkid and Chris Brown on one stage

Eeeh bwana eeh angekuwa Diamond tungehama nchi!
Wiz yuko vizuri...hana mbwembwe wala nini.
Nakupendea hapo tu Nifah,sio mnafiki na kwa sasa umekubali kuwa DIAMOND ndio wakulinganishwa na level za kina Wizkid na si mwingine kwa TZ hii. Japo umeongea kwa kuzunguuuuuuka na watu wengi hawata kuelewa.
 
Place davido into that situation.Hahahahaha napata picha.

Davido angeenza kelele mapemaa na vurugu zake ingekua tabu tupu,StarBoy anajiamini sana na ni jeuri hapo unaweza kuta anamchukulia Breezy kama wengine tu akakomaa nae jukwaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna msanii mmoja humu yeye alipiga selfie tu na rappa mmoja maarufu wa United States aitwae Kajisaidie Magharibi tena sijui alimbembeleza maana huyo jamaa alitokea ktk hiyo selfie kakunja uso balaa sasa kazi ikawa kwa mashabiki wake Team Bahati weeeeeee mbona tulikosa amani humu. Sasa hilo shavu la WizKid angelipata baba Ffati tusingekaa kwa raha nchi hii mwaka mzima kwa hayo makelele yao.
 
Back
Top Bottom