Wizkid apata mtoto wa 3, azaa na manager wake

Wizkid apata mtoto wa 3, azaa na manager wake

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Wizkid amefanikiwa kupata mtoto wa 3 wa kiume aliezaa ma manager wake anaesimamia kazi zake upande wa ulaya na marekani Jada pallock.
Wizkid alikuwa na watoto 2 wakiume na mama tofauti huyu wa sasa anakuwa mwanamke wa 3 kuzaa na Wizkid
Wizkid amempa mtoto huyu jina la Zion

Wizkid has welcome a bouncing baby boy with his manager Jada Pollock. She is one of Wizkid manager alongside Sunday Are and Dumi Oburota.
The relationship between Wizkid and Jada Pollock started over a year ago and the baby boy was born few weeks ago.

Jada-Pollock-and-Wizkid.png

wp-1511166027306.jpeg
 
Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
 
Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
Ujapitiwa na bwana pepsi kumbe?
 
Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
tatizo wengine hawafati matunzo wanafata jina la msanii tu!!..
 
Back
Top Bottom