Wizkid apata mtoto wa 3, azaa na manager wake

Wizkid apata mtoto wa 3, azaa na manager wake

[QUOTEloycious, post: 24522336, member: 113586"]Pesa mzee! Watu wanahaha kupigwa bomba na starboy ili wawe maarufu![/QUOTE]
Ooooh bas hongra zao km umaarufu wao ni wa kudumu
 
Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
Kwakwwli hapa huwa naona wajinga ni wanawake ambao wanaona kabisa mtu ana watt zaidi ya 1 na wanawake tofauti na ww unazaa hapohapo,si ujinga huu
 
wala hiyo siyo sababu na huyo shetani mpunguze kumsingizia.vizuizi vya mimba ni vingi sana na pili hao wanaozaa nao wote hua mameneja wao??davido kazaa na wadada wa3 tofaut same to kiba wiz cjui 2face mifano debe.
Ivi huwa wana anti HIV?
Duh mpk 2face....sikuwahi kujua!
Wanawake bwana
 
Duh mpk 2face....sikuwahi kujua!
Wanawake bwana
Hee 2face ndo baba yao kwa wasanii Nigeria.
2face ana watoto 6 na kila mtoto na mama yake
Sasa hivi ndo katulia na amemuoa mwigizaji wa nollywood Annie ndo kamtuliza

Mashabiki wanamtania Wizkid anataka kuvunja record ya 2face au 2baba
 
Back
Top Bottom