Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh story n kwamba at anatakaNawaza tu hapa na kiba na manager wake
Kwakwwli hapa huwa naona wajinga ni wanawake ambao wanaona kabisa mtu ana watt zaidi ya 1 na wanawake tofauti na ww unazaa hapohapo,si ujinga huuHivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
Duh mpk 2face....sikuwahi kujua!wala hiyo siyo sababu na huyo shetani mpunguze kumsingizia.vizuizi vya mimba ni vingi sana na pili hao wanaozaa nao wote hua mameneja wao??davido kazaa na wadada wa3 tofaut same to kiba wiz cjui 2face mifano debe.
Ivi huwa wana anti HIV?
Hee 2face ndo baba yao kwa wasanii Nigeria.Duh mpk 2face....sikuwahi kujua!
Wanawake bwana
utakuwa mchaga wewe huwa. ameona bora aweke hisa kuliko kulipwa mshahara..Hongera zao Ila manager mahesabu makali kaona mgao wake mdogo kaamua ajiongeze yaani