Keshatafunwa yule. Kiba si wakispot spotNawaza tu hapa na kiba na manager wake
Nasikia ndio kisa cha kuachana na jokate manager alikua hapendi kumuonaKeshatafunwa yule. Kiba si wakispot spot
Nami niliskia, naskia kiba kawatafuna sanaNasikia ndio kisa cha kuachana na jokate manager alikua hapendi kumuona
naomba yawe ya kweli haya, lazima rungu la kipepe litembeee ukiwaacha ni dharau kwenda mbeleNami niliskia, naskia kiba kawatafuna sana
Ngoja watakuja Kukujib wahusikaNawaza tu hapa na kiba na manager wake
Ujapitiwa na bwana pepsi kumbe?Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
tatizo wengine hawafati matunzo wanafata jina la msanii tu!!..Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
Tena watu aina ya kiba wabaya sana. Ukimuona yupo kimyaaaa haweki mahusiano yake publicnaomba yawe ya kweli haya, lazima rungu la kipepe litembeee ukiwaacha ni dharau kwenda mbele
Umenifanya nicheke ndugu, kwani meneja wa king ni nani?Keshatafunwa yule. Kiba si wakispot spot
Mwanadada mmoja hivi anaitwa Seven moshaUmenifanya nicheke ndugu, kwani meneja wa king ni nani?
Kweli, uli mzigo naona manyoya hauna.Mwanadada mmoja hivi anaitwa Seven mosha