Wizkid apata mtoto wa 3, azaa na manager wake

[QUbasi ick, post: 24516611, member: 418268"]tatizo wengine hawafati matunzo wanafata jina la msanii tu!!..[/QUOTE]
Mh basi kazi ipo.....kuna maisha baada ya kumzalia...jina jipya singo mother n.k
 
Najielewa ndo tatizo
Unadhani hao wanaozalishwa hawajielewi?
Sometimes mazingira tu we unadhani mtu kama Alikiba kila anapoenda yupo seven mosha wanakula pamoja , wanalala hotel moja, wanakaa usiku wa manane pamoja, unashani shetani atawaacha salama?
Automatic tu inatokea mzigo umeliwa
 
wala hiyo siyo sababu na huyo shetani mpunguze kumsingizia.vizuizi vya mimba ni vingi sana na pili hao wanaozaa nao wote hua mameneja wao??davido kazaa na wadada wa3 tofaut same to kiba wiz cjui 2face mifano debe.
Ivi huwa wana anti HIV?
 
Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi

Pesa mzee! Watu wanahaha kupigwa bomba na starboy ili wawe maarufu!
 
Ningependa zaidi kumuona huyo manager.
Wizikid picha zake nyingi uwa za studio inaelekea yeye mtu wa kazi.
Halafu uwa hana muda wa kuomba kupigiwa kura nadhani ni mr dont care kuhusu tuzo
Huwa kanajiamini sana
 
Hivi hawa wasanii hawawezagi kuzaa na mtu mmoja wakatulia?
Na hawa wadada wanaozaa nao hawajiskii vibaya kuzaa na mtu ambaye ana watoto wengi wa mama tofautitofauti?naye anaenda anajipachika ndi
Wengine wanataka tu title kazaa na fulani
 
Tupeni maana
Ya ZION maana wengine hatujui nini maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…