Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameshangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’ ambapo amesema kuwa bei ya midoli hiyo ni kubwa kulikuwa hata gharama ya kununua wanawake wanaojiuza yaani makahaba.

Wizkid amesema makampuni yanayotengeneza midoli hiyo hayajui jinsi ya kupanga bei kuendana na mazingira kwani haamini kuwa mtu anaweza kutumia mamilioni ya pesa kununua midoli hiyo ile hali anaweza kulipia gharama ndogo kununua kahaba na kujiridhisha kingono.

Najiuliza watu wanaotengeneza midoli ya ngono, hivi hawajui bei ya makahaba mtaani,“ameandika Wizkid kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Kauli nhiyo imekuja baada ya wiki iliyopita duka kubwa la midoli ya ngono ya kampuni ya eSex Dolls kufunguliwa nchini humo ambapo bei ya chini ya midoli hiyo ni tsh milioni 5 huku bei ya juu ikiwa hadi milioni 10 kitu ambacho watu wengi wa Nigeria wameshangazwa na bei hiyo.






Bongo 5
 
Duuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5

Kahaba unabadilisha lakini leo mrefu kesho mfupi au mwemba na mnene hilo limdoli hilo hilo kila siku utalichoka kitu hata haliongei halina miguno
 
Wapunguze bei bhana....mbona wanakuwa na roho ngumu hivyo? Halafu nawaomba agents waje wafungue maduka hapa bongo pia, wateja tunaisubiri kwa hamu na gamu.
 
Duuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5
Mkuu sasa milioni 5 kwa kununua kitu artificial si uchote laki 5 uoe mke halisi chenji inayobaki uitumie kwa matumizi mengine?
 
Duuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata mimi nafikiri wamepanga hii bei ili kutukomoa, hasa sisi watu wa mshahara wa kima cha chini. Haiwezekani kabisa, hii sio haki.
Umeona eeh? This is totally unfair. Wanatuumiza sisi watu wa kipato cha chini.
 
labda kama huwa wanabadilisha vifanyio mara kwa mara hapo sawa.
Ila kama ukinunua ndo basi haiko njema , watu wanataka ladha tofauti ndo mana kuna michepuko
Hili nalo neno.
 
Mkuu sasa milioni 5 kwa kununua kitu artificial si uchote laki 5 uoe mke halisi chenji inayobaki uitumie kwa matumizi mengine?


Chenji inayobaki atumie kwa michepuko.
 
aiseeee mdoli mzuri kuliko wema sepetu
daahhh mtoa mada nitafutie mawasiliano ya hao wenye duka...
million 5 nitaitafuta tu
 
50% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hospital[WA-KIKE]

35% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hosptal[WA-KIUME]


Wanaobaki hufa kwa7b mbalimbali kipind wanazaliwa.

WANAWAKE WANAZID ,WANAUME TUNAPUNGUA.....Nini HAJA na LENGO la SEX DOLL? kwa wanaume
 
Mtu na akili yako unafanya sex na mdoli. Watu wana roho ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…