Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

Kama ni mdada hujaolewa tafuta wa kukuoa mapemaaa, @sexdolls.com[emoji23]
 
Hiyo bei sio ya kukomoa, kama biashara siku zote faida ni kitu namba moja. Hawa wanatumia medical grade silicone, manufacturing process yake hadi huo mdoli ufikie level hiyo ni pesa ndefu sana. Kama mdoli moja utumie tuseme 4million kumanufacture, kwa nini niuuze chini ya 7million? Unasahau kuna pesa inabidi ilipwe kwa researchers, designers, painters na bado kuna kulipia test kibao. Manufacturing ya hii midoli sio kitu kidogo ka mnavyofikiria. Bei ni sahihi kabisa. Tatizo ni je nani yupo tayari kutoa milioni kadhaa kununua mdoli.

Watu mnashangaa level hii, subirini Artificial Intelligence ikivuka the uncanny valley mtashangaa watu watareplace wachumba zao kwa robots maana zitakua zinaongea ka binadamu. Hiyo ndo future miaka kama 20 tu baadaye.
 
Back
Top Bottom