Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu bhanaMdoli ni mzuri kuliko gigy money.
Wana niniBinadamu bhana
Gigy money akikusikia wigi la 6mill awe mbayaWana nini
Kwani wazungu Mungu wao nani na wewe Mungu wako nani?
Kumbe kila MTU hapa Duniani anakuwa na mungu wake?
Nijuavyo mimi kila MTU ana Dini yake ila Mungu ni wa Watu wote, uwe Muslim , Christian or mpagani woote mungu wao ni mmoja tu.
Jipange mkuu huu Uzi Sio wa imani za kidini.
Milioni 5 sawa na kununua kahaba mmoja,Mkuu sasa milioni 5 kwa kununua kitu artificial si uchote laki 5 uoe mke halisi chenji inayobaki uitumie kwa matumizi mengine?
Ukipiga hesabu unanunu midoli hata mia mojaDuuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5
Kwa ajili ya domo zege50% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hospital[WA-KIKE]
35% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hosptal[WA-KIUME]
Wanaobaki hufa kwa7b mbalimbali kipind wanazaliwa.
WANAWAKE WANAZID ,WANAUME TUNAPUNGUA.....Nini HAJA na LENGO la SEX DOLL? kwa wanaume
Kiimani unakuwa unafanya zinaa na majini, madhara yake kiimani na kiutu wa binadamu ni makubwa.Mtu na akili yako unafanya sex na mdoli. Watu wana roho ngumu
Kiimani ni sawa na kufanya sex na majini,au kujichuaMie nina swali moja hv ukilitia hili dude unapata dhambi?
Nani nakwambia hakuna miguno?Kahaba unabadilisha lakini leo mrefu kesho mfupi au mwemba na mnene hilo limdoli hilo hilo kila siku utalichoka kitu hata haliongei halina miguno
Heeeeeh makubwa madogo yatakua na wenyewe
Nilijua inauzwa ulaya tu hadi Afrika!!
Mkuu ukitaka radha tofauti unayanunua mengi unakuwa una badili.[emoji15]labda kama huwa wanabadilisha vifanyio mara kwa mara hapo sawa.
Ila kama ukinunua ndo basi haiko njema , watu wanataka ladha tofauti ndo mana kuna michepuko
Nani nakwambia hakuna miguno?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Linakata mauno feni???