Wizkid & Chris Brown

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Tarehe 24 ya mwezi huu mtu mzima Chris Brown anaachia Album yake ya BREEZY,

Mkali huyo wa RnB, Moja kati ya ngoma ni ngoma ambayo amemshirikisha Star Boy Wizkid kutokea Nigeria.

Hii ni Clip fupi ya ngoma ambayo alipost kwenye Insta story, Akiwa na Star Boy.

Huu unyama wa Wizkid ni hatari.

Your browser is not able to display this video.
 
Chris Brown ndo msaani wangu Bora,wa muda wote nyimbo zake hazichoshi masikio yangu
 
I can say 7 years ago Diamond, Wizkid and Barna Boy were on the same levels in Africa.

But what went wrong to Diamond currently to not be on the same levels of his mates from Nigeria,honestly I don't.
 
Nilishangaa sana niliposikia jamaa wa tandale kipindi ameimba nyimbo na wizkid wana shoot video south Africa kipindi kile amekuja mwanza mpaka leo kimyaa halafu Chris brown ana mpost mwamba hana habari kabisa ila kajamaa ni kajeuri sana.
 
I can say 7 years ago Diamond, Wizkid and Barna Boy were on the same levels in Africa.

But what went wrong to Diamond currently to not be on the same levels of his mates from Nigeria,honestly I don't.
Lugha mkuu ndo inamrudisha nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…