Wizkid In Dar: Fursa kwa wasanii wa Bongo

Mkuu kati ya wasanii ambao ni ngumu saana kumpata kufanya nae collable kwa msanii asio wa naija ni Wizkid, kijamaa kina mambo mengi saaaana!

Kama unakumbuka, lina kabla ya kutoa wimbo wa No stress alipanga kuja kutoa wimbo akimshirikisha wizkid na alivyoongea na Sunday meneja wake wizkid aliambiwa "Licha ya gharama nyingine kama usaafiri na hotel wakati wa video n.k kushirikishwa itamgharimu millioni 45 za kitanzania na bado watamfikiria kama watakubali offer ya kushirikishwa" Hahahahahaha linah akaona bora akimbie, sasa misanii ya bongo ilivyo mibahili hahaha hawatajaribu kabisa, japokuwa ninafahamu swala la kutozwa pesa au la linategemea pia na jina la ukubwa wako wewe kama msanii na collable itampa impact kiasi gani!!

Kibakuli c alisema kafanya collabo na wiz kid Shardcole pwilo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kati ya wasanii ambao ni ngumu saana kumpata kufanya nae collable kwa msanii asio wa naija ni Wizkid, kijamaa kina mambo mengi saaaana!

Kama unakumbuka, lina kabla ya kutoa wimbo wa No stress alipanga kuja kutoa wimbo akimshirikisha wizkid na alivyoongea na Sunday meneja wake wizkid aliambiwa "Licha ya gharama nyingine kama usaafiri na hotel wakati wa video n.k kushirikishwa itamgharimu millioni 45 za kitanzania na bado watamfikiria kama watakubali offer ya kushirikishwa" Hahahahahaha linah akaona bora akimbie, sasa misanii ya bongo ilivyo mibahili hahaha hawatajaribu kabisa, japokuwa ninafahamu swala la kutozwa pesa au la linategemea pia na jina la ukubwa wako wewe kama msanii na collable itampa impact kiasi gani!!

Wizkid amefanya collabo na radio and weasel japo haikuhit sana africa
 
Aiiseee, we jamaa mbona unajua sana ????? ila nasikia kibakuli keshajitoa muhanga na kuna michango inaendelea ili kamjaa chao kafanye kollabo naye.
 
Hahaaa!sema king kajtahid kufata nyayo..kazama kwa jokate,kaanza urafk na wema,karuka kwa godfather,kashoboka kwa davido na ne-yo,kaenda cock studio,anapga shoo ccm but ziiiiiiiiii

Jtahd kuandika logic next tym
 
Kwa uyu dogo hakika narudia enzi zangu,nitachoma jasho la mwarabu mpaka hapo mjini kwenu ili nimshuhudie Star Boy namuelewa sana uyu kid duh hawa wanasiasa wamalize mambo yao kwa amani usije kuta hiyo tarehe niko mpakani nasaka hifadhi maana seleka halina mwenyewe acha tu.

asante mkuu kwa kufanya siku yangu iende muruuuua kwa jinsi ulivyomalizia comment yako
 
nampa polwe Ali keyo kaunguza nauli za kukwea ndege na asipate tuzo poleni team kiba na rockstar kiujumla.

Hakwenda naic aljua kama pa2pu,ww m2 gan ucyetaka ushkaj na mwenzio kisa alkukuta then kakuzd mafanikio.
 
Nahisi anaweza akaanza hta kumchukia ommydimpoz sasahv maana dimpoz anatuzo moja ya kimataifa yeye patupu miaka yote hiyo ya uking zamunda
 
Nadhan tarehe hzo kutakuwa na joto kali la matokeo ya uchaguz mkuu na linaweza kuathiri onesho zima, wangesubiri joto lipoe.
 
Walioandaa hiyo show wako off target kabisa, hawasomi alama za nyakati. Hizo tarehe ndo mihemko ya kisiasa ktk matokeo ya uchaguzi yapo ktk kilele chake.
So lolote linaweza kuibuka ktk hizo tarehe kutokana matokeo ya uchaguzi.
 
Haaah tatizo nyota
Acha uongo kwahiyo huyo msanii wako ni bora kuliko wizkid na davido kisa tuzo maana msanii bora Africa kachukua yy so ni bora kuliko alio wapita???
 
Mkuu kati ya wasanii ambao ni ngumu saana kumpata kufanya nae collable kwa msanii asio wa naija ni Wizkid, kijamaa kina mambo mengi saaaana!

Kama unakumbuka, lina kabla ya kutoa wimbo wa No stress alipanga kuja kutoa wimbo akimshirikisha wizkid na alivyoongea na Sunday meneja wake wizkid aliambiwa "Licha ya gharama nyingine kama usaafiri na hotel wakati wa video n.k kushirikishwa itamgharimu millioni 45 za kitanzania na bado watamfikiria kama watakubali offer ya kushirikishwa" Hahahahahaha linah akaona bora akimbie, sasa misanii ya bongo ilivyo mibahili hahaha hawatajaribu kabisa, japokuwa ninafahamu swala la kutozwa pesa au la linategemea pia na jina la ukubwa wako wewe kama msanii na collable itampa impact kiasi gani!!
Sema tu jisikie huru
 
Aiiseee, we jamaa mbona unajua sana ????? ila nasikia kibakuli keshajitoa muhanga na kuna michango inaendelea ili kamjaa chao kafanye kollabo naye.
Kiba kiba unaumiza watu huku licha ya tuzo
 
Stress za afrimma
Za afrimaa tuzo za vibanda umiza ndo maana wizkid wanemtoa katika tuzo za mtv kisa hajawapost maajabu haya davido nae kazigomea jamaa ndo anazitumia kupata kiki daa ngoja tuone
 
Nahisi anaweza akaanza hta kumchukia ommydimpoz sasahv maana dimpoz anatuzo moja ya kimataifa yeye patupu miaka yote hiyo ya uking zamunda
Huu uzi ni wa wizkid ila mnamzungumzia kiba how mnamkubali sana sema huko mnafuata udaku tu #wizkid kiba awards is nothing
 
Back
Top Bottom