kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kati ya wasanii ambao ni ngumu saana kumpata kufanya nae collable kwa msanii asio wa naija ni Wizkid, kijamaa kina mambo mengi saaaana!
Kama unakumbuka, lina kabla ya kutoa wimbo wa No stress alipanga kuja kutoa wimbo akimshirikisha wizkid na alivyoongea na Sunday meneja wake wizkid aliambiwa "Licha ya gharama nyingine kama usaafiri na hotel wakati wa video n.k kushirikishwa itamgharimu millioni 45 za kitanzania na bado watamfikiria kama watakubali offer ya kushirikishwa" Hahahahahaha linah akaona bora akimbie, sasa misanii ya bongo ilivyo mibahili hahaha hawatajaribu kabisa, japokuwa ninafahamu swala la kutozwa pesa au la linategemea pia na jina la ukubwa wako wewe kama msanii na collable itampa impact kiasi gani!!
Kibakuli c alisema kafanya collabo na wiz kid Shardcole pwilo
Last edited by a moderator: