Wizkid In Dar: Fursa kwa wasanii wa Bongo

Acha uongo kwahiyo huyo msanii wako ni bora kuliko wizkid na davido kisa tuzo maana msanii bora Africa kachukua yy so ni bora kuliko alio wapita???

Kazigomea wapi
 
Attachments

  • 1444768253297.jpg
    42.7 KB · Views: 199
Wizkid na davido waliambiwa waende wa kakataa hawajaenda na mituzo wamewaachia afrimma mituzo yao we umeona hata wamezi post ??

Davido alichelewa Ndege na taarifa alitoa wiz kid kuto udhuria awards ni kawaida yake
 
Huyu wiz anajua ila amekua overrated sana , huyu kaachwa mbali sana na davido na majamaa wengine kibao ila kwa tabia zake ninavyozisikia sijui kama kuna msanii atafaidika na ujio wake hapa bongo
 
Huyu wiz anajua ila amekua overrated sana , huyu kaachwa mbali sana na davido na majamaa wengine kibao ila kwa tabia zake ninavyozisikia sijui kama kuna msanii atafaidika na ujio wake hapa bongo

Yap Davido is better ingawa hajamuacha mbalisana, palipo Davido (kwenye tuzo) Wizkid huwa hachomoki, hadi namuhurumiaga aisee. Tuzo zote anakombaga Davido kuanzia Nigeria hadi international, ndo maana sikuhizi kaacha kuhudhuria kwenye tuzo
 
Huyu wiz anajua ila amekua overrated sana , huyu kaachwa mbali sana na davido na majamaa wengine kibao ila kwa tabia zake ninavyozisikia sijui kama kuna msanii atafaidika na ujio wake hapa bongo

Huyu Wizkid Davido anamshinda mbali sana.Davido ana Hits za kutisha sana kama "One of a kind,Gobe,Skelewu na Aye" yanatisha sana.Wizkid wimbo ambao kidogo una afadhali ni Ojuelegba ambao binafsi naona Producer ndo kautendea HAKI.Beat la ukweli.KUHUSU MASUALA YA TUZO TUSEME TU UKWELI HAKUNA MSANII ASIYEPENDA TUZO BALI KUNA WASANII NI WAOGA SANA "USHINDANI" Akiona kuna ushindani sana,atajifanya HATAKI na Wizkid ni mmojawapo
 
Holla to you're girl, dance with me, show the money, in my bed, pakurumo, Caro, azonto embu kazisikilize izo kazi utajua wiz kid anajua kuliko davido
 
Holla to you're girl, dance with me, show the money, in my bed, pakurumo, Caro, azonto embu kazisikilize izo kazi utajua wiz kid anajua kuliko davido

Aisee hao watu nimejaribu kuwafatilia sana nyimbo zao utube na nyimbo za kushirikishwa, Davido yuko vizuri sana. Hana sauti nzuri but ana melody, kila wimbo wa Davido unasikilizika, Davido na Diamond ndio naona wanaweza kukaa kwenye ligi moja kwenye upande wa melody, Wizkid sio mkali kihivo
 
Yap wiz kid anajua kuimba ana sauti davido anapiga kelele ila kinachomsadia ni upangaji wa melody katika nyimbo zake ni rahisi kusikika wimbo na tune za nyimbo za david kuliko za wiz kid
 
Yap wiz kid anajua kuimba ana sauti davido anapiga kelele ila kinachomsadia ni upangaji wa melody katika nyimbo zake ni rahisi kusikika wimbo na tune za nyimbo za david kuliko za wiz kid

Sikuhizi melody ndo kilakitu mzee, hata uwe na sauti nzuri vipi kama huna melody nyimbo zako haziwezi kuwashtua walaji, wasanii wengi wana sauti nzuri but hawana melody, Davido na Diamond hicho ndo kinachowabeba, Wizkid ana melody but hawakamati hao
 
Holla to you're girl, dance with me, show the money, in my bed, pakurumo, Caro, azonto embu kazisikilize izo kazi utajua wiz kid anajua kuliko davido

Naukubali sana huo unaoitwa in my bed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…