wiz kid ndio msanii mbabe kimuziki afrika: nyimbo kali ila video za kawaida ilaa hapati tuzo..sababu tuzo za siku hizi hutolewa na vituo vya televishen hivyo hujikita kwenye videos na si uzuri wa nyimbo na mashairi.ojuelegba!!!!!!!!! napia ni msanii anayefanya kazi na mastaa wakubwa na nyimbo zake mastaa hujirekod wakizicheza. chris brown.drake.nicki.alicia keys.