Wizkid na muonekano wenye “UTATA”

Wizkid na muonekano wenye “UTATA”

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
I don’t know but this pose looks so Gayish to me , Sijui kama ni marketing strategy to grab peoples attention au ndo kashakua ndugu wa bobrisky , what’s your opinion kuhusu hiyo picha ?


IMG_8358.jpg
 
Je ni movie mpya ya Lupita Nyongo ndiyo inaitwa from Lagos with love?
 
Kuufanya muziki wako usikike pote ulimwenguni ni kazi sana.
Unalazimika kufanya vitu vingi vya maajabu Ili tu utengeneze attention
Pozi Hilo Lina walakini

Yupo kama Beyoncé apo
 
Natumai yuko salama! Sema pozi sio baya ukiacha na swala la jamaa kufanana sana mama akee
 
Back
Top Bottom