Wizkid na muonekano wenye “UTATA”

One of satanic rituals ni hiyo sasa ya kujifanya gay to support lgbt au kuwa kabisa,baada ya kuingia mikataba ya kuuza nafsi.
Ebhana kuna conspiracy theories zenye kufurahisha sana.

Mtu akikaa tu kwenye geto lake anaanza kutunga na kuunganisha hadithi na kuzifanya zionekane kama kitu fulani chenye akili nyingi sana.
 
Labda ni ushabiki niliokuwa nao ila mm nimeona ni kawaida

NOTE: Dunia ya sasa inakimbia kas mnoo kila kitu ukianza kukichungza tabu utaipata ww
Saiv n mwendo wa angalia na chuja unachotak tembea na ishu zako
 
The price he has to pay to the devil for money and fame is his soul.The rituals include gayish poses,nudity,cross dressing and "taking it in the ass".
Namna rahisi ya kuyafanya haya kwa uwazi na watu wasishtukie ni kutumia vyombo vya habari ku brand habari za haya mambo kama Conspirancies.wanaita Hiding in a plain sight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…