Pass Master
Member
- Sep 18, 2020
- 94
- 61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizkid ni another levelWataalamu wa muziki ebu tukutane hapa kidogo.
Hivi kati ya Star Boy Wizkid na Davido nani zaidi kwenye nyanja ya muziki wa Afrika na kuvuka boda huko(U.s.a,U.K n.k)
Wizkidayo au Davido?
anamzidi wapi Davido?Wizkid ni another level
kwani kuwa na sauti nzuri ndio kuwa mwanamziki mzuri? Mbona Drake anaandikiwa,Rihanna n.kDavido inasemekana kuwa ana sauti kama chura then anaandikiwa nyimbo so masterpiece ni bad boy wizzy😶😶😶
Wimbo wake na Underground Diamond unatoka lini ?Wizkid ni another level
Acha ujinga top three ya Africa Currently ni hiiWimbo wake na Underground Diamond unatoka lini ?
Acha ujinga top three ya Africa Currently ni hii
1.Burna boy
2.Diamond platinumz
3.Wizkid
4.Davido
Ko Diamond platinumz ni mkubwa kwa underground wizkid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha utani jombaaAcha ujinga top three ya Africa Currently ni hii
1.Burna boy
2.Diamond platinumz
3.Wizkid
4.Davido
Ko Diamond platinumz ni mkubwa kwa underground wizkid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba namba moja anastaili kuwa nani?Acha utani jombaa
sasa nauaje jukwaa mkuu...? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeambiwa unaua jukwaa bado husikii tu[emoji23][emoji23]
utani gani tenaAcha utani jombaa
1.burna boyKwamba namba moja anastaili kuwa nani?
Acha ujinga top three ya Africa Currently ni hii
1.Burna boy
2.Diamond platinumz
3.Wizkid
4.Davido
Ko Diamond platinumz ni mkubwa kwa underground wizkid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]