BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Ukipenda Mwamba Geu, Singeli OG aliyebaki kundini baada ya Man Fongo kusajiliwa kule.Shollo Mwamba mshindi
Opinion.Sholo mwamba anajua Man fongo anapaishwa na clouds ila bado
Je angekuwepo Shollo mwamba angeimba singeli yake ipi inayojulikana Mwanza?Man fongo ataimba hainga ushemeji, na hauna ndo zinajulikana sidhan akiimba nyimbo zke zingine km tekenya au namtafuta panya ft sholo mwamba km watu wa mwanza wanazijua
Shollo mwamba na young yuda ni wakali kuliko huyu man fongo
Toa uchafu wa Sifongo weka Mwamba geu Sholo watu wateleze kama kambare na kiuno cha mgandoOpinion.
Me nimezugumzia upande wng kuwa namuelewa shollo mwamba kuliko man fongoJe angekuwepo Shollo mwamba angeimba singeli yake ipi inayojulikana Mwanza?
Hivi huyu Sholo amewahi kutoa hit inayoifikia Hainaga ushemeji ya man fongo?
Mi pia namkubali sana mwamba geu, chuma nondo steel wire, kuliko man fongo (promo zinambeba sana). Sholo anajua, magoma kama sembe tembele, sayona, sina msaada, panya, geto, kazi kazi (kolabo na prof jize) zote ni noma. Ana amsha amsha sana kiukweliMe nimezugumzia upande wng kuwa namuelewa shollo mwamba kuliko man fongo
Upo mkoa gan?
Umeeleweka, Dar city.Me nimezugumzia upande wng kuwa namuelewa shollo mwamba kuliko man fongo
Upo mkoa gan?
Aisee Singeli's product, misamiati ya kisingeli hii.Toa uchafu wa Sifongo weka Mwamba geu Sholo watu wateleze kama kambare na kiuno cha mgando
Kweli yaan man fongo nyimbo zke zingine uwezi zisikiliza maana hazivuti me naonaga anaongea kwny nyimbo zke ila mwamba ngoma zke zote ni kaliMi pia namkubali sana mwamba geu, chuma nondo steel wire, kuliko man fongo (promo zinambeba sana). Sholo anajua, magoma kama sembe tembele, sayona, sina msaada, panya, geto, kazi kazi (kolabo na prof jize) zote ni noma. Ana amsha amsha sana kiukweli
Umalaya wa Watanzania ndio umeipa kiki Hainaga Ushemeji, tafuta wimbo wa Sembe Tembele ft. Mesen na video yake ni ya kimataifa. Oops, Mwamba Geu amefanya wimbo na Mbunge, wimbo bora na inspirational kuliko zote za Singeli.Je angekuwepo Shollo mwamba angeimba singeli yake ipi inayojulikana Mwanza?
Hivi huyu Sholo amewahi kutoa hit inayoifikia Hainaga ushemeji ya man fongo?