Wizkid vs Man Fongo

Wizkid vs Man Fongo

Man fongo ataimba hainga ushemeji, na hauna ndo zinajulikana sidhan akiimba nyimbo zke zingine km tekenya au namtafuta panya ft sholo mwamba km watu wa mwanza wanazijua
Shollo mwamba na young yuda ni wakali kuliko huyu man fongo
Shollo Mwamba AKA Mwamba Geu..!
Achana kabisa na hii MASHINE..!
Wapo WAKALI wengi wa SINGELI ambao MAN FONGO hawezi kuwagusa...
Sema ndio hivyo MAN FONGO amewazidi UJANJA kidogo..!
 
Je angekuwepo Shollo mwamba angeimba singeli yake ipi inayojulikana Mwanza?

Hivi huyu Sholo amewahi kutoa hit inayoifikia Hainaga ushemeji ya man fongo?
Hainaga Ushemeji ni nyimbo ya KAWAIDA sana katika SINGELI...
sema SINGELI ni muziki ambao umechelewa kupata air time kwenye media..!

Shollo Mwamba ana NGOMA kali sana kushinda hiyo hainaga ushemeji baadhi ya hizo ngoma ni kama..
  • Sayona
  • Panya
  • Mtoto uyo
  • Achia body
  • Sembe tembele
  • Mpolepole
 
Swali kwenu wadau,

SWALI: Kati ya Man Fongo na Wiz Kid wakipanda jukwaani nani atamfunika mwenzie kwa performance na kuamsha amsha wananchi??? Hahahaha...

Mpambano huu ni hatari, yaani hata aje Chris Brown mwaka huu kwa Man Fongo atakaa

Proudly Tanzanian

Huyo man fongo akifanya uswahilini ataburuza lakini akifanya kwa watu wanaojua muziki wenye pesa zao na hadhi hakuna wa kumpata wizkid
 
mi simjui huyo sholo mwamba..ila kama yupo bas Single moja ya Man fongo imehit kuliko album ya sholo
Huyo Man Fongo mtoto Mdogo sana kwenye hizi kazi mkuu...
Huyo Man Fongo hata Dogo Nigga(Simela) hamfikii..!
 
dogo nigga ndo kabali yao hao wote sema hao wengine wanabebwa na mediapower ana dude lako linaitwa mahaba niue, hilo dude yan punda afe alaf lingine ni maseke dogo ana nying sema nahis wanao msimamia ndo viande,Nganga.Am out
 
Hainaga Ushemeji ni nyimbo ya KAWAIDA sana katika SINGELI...
sema SINGELI ni muziki ambao umechelewa kupata air time kwenye media..!

Shollo Mwamba ana NGOMA kali sana kushinda hiyo hainaga ushemeji baadhi ya hizo ngoma ni kama..
  • Sayona
  • Panya
  • Mtoto uyo
  • Achia body
  • Sembe tembele
Kipi kinakufanya uandike hizo nyimbo za mwamba ni Kali kuliko za dongo?.
 
Kipi kinakufanya uandike hizo nyimbo za mwamba ni Kali kuliko za dongo?.
Raha ya SINGELI ni amshaamsha na kamshange mwanzo mwisho...
Na hapo ndio Shollo Mwamba anapomuacha mbali Man Fongo...
Kama ni mdau wa Singeli muda mrefu utakua umenielewa namaanisha nini..!
 
dogo nigga ndo kabali yao hao wote sema hao wengine wanabebwa na mediapower ana dude lako linaitwa mahaba niue, hilo dude yan punda afe alaf lingine ni maseke dogo ana nying sema nahis wanao msimamia ndo viande,Nganga.Am out
Kweli kaka...
Tatizo wengi wameanza kuifuatilia SINGELI ilivyoanza kupata nguvu kwenye media...
Ila kama mtu umeanza kuifuatilia SINGELI tangu kipindi cha akina Msaga Sumu utamuona Man Fongo ni MTOTO mdogo sana kwenye game ya SINGELI...

Kwangu mimi wasanii hatari kwa SINGELI kwa sasa ni...
  • Shollo Mwamba
  • Dogo Nigga
  • S.Kide
 
S.kide anakuambia ushemeji upo uwa nafurahi sana nikiusikiliza maana uwa napenda kuplay hainaga ushemeji then naweka ushemeji upo ya skide kwny playlist yng
 
S.kide anakuambia ushemeji upo uwa nafurahi sana nikiusikiliza maana uwa napenda kuplay hainaga ushemeji then naweka ushemeji upo ya skide kwny playlist yng
Ahahaaah...
S.Kide makuzi sana yule yule mtoto..!
 
Back
Top Bottom