nijibu basi maswali niliyokuulizaHahhahahahahahahahaha
N kwelinijibu basi maswali niliyokuuliza
ni kweli ndio kitu gani wewe ?N kweli
Hicho ulichosema I miss u lakinini kweli ndio kitu gani wewe ?
aisee mi nilikua naumwa juu yako nilikuwa napungua damu kila nikikukumbukaHicho ulichosema I miss u lakini
Shollo Mwamba AKA Mwamba Geu..!Man fongo ataimba hainga ushemeji, na hauna ndo zinajulikana sidhan akiimba nyimbo zke zingine km tekenya au namtafuta panya ft sholo mwamba km watu wa mwanza wanazijua
Shollo mwamba na young yuda ni wakali kuliko huyu man fongo
Hainaga Ushemeji ni nyimbo ya KAWAIDA sana katika SINGELI...Je angekuwepo Shollo mwamba angeimba singeli yake ipi inayojulikana Mwanza?
Hivi huyu Sholo amewahi kutoa hit inayoifikia Hainaga ushemeji ya man fongo?
Man Fongo na wenzake ni passing fads tu.
Sioni talent yoyote kabisa.
Muda si mrefu watu watachoka hizo singeli.
Man fongo pia anaweza mkuu...Sholo mwamba anajua Man fongo anapaishwa na clouds ila bado
Swali kwenu wadau,
SWALI: Kati ya Man Fongo na Wiz Kid wakipanda jukwaani nani atamfunika mwenzie kwa performance na kuamsha amsha wananchi??? Hahahaha...
Mpambano huu ni hatari, yaani hata aje Chris Brown mwaka huu kwa Man Fongo atakaa
Proudly Tanzanian
Huyo Man Fongo mtoto Mdogo sana kwenye hizi kazi mkuu...mi simjui huyo sholo mwamba..ila kama yupo bas Single moja ya Man fongo imehit kuliko album ya sholo
Kipi kinakufanya uandike hizo nyimbo za mwamba ni Kali kuliko za dongo?.Hainaga Ushemeji ni nyimbo ya KAWAIDA sana katika SINGELI...
sema SINGELI ni muziki ambao umechelewa kupata air time kwenye media..!
Shollo Mwamba ana NGOMA kali sana kushinda hiyo hainaga ushemeji baadhi ya hizo ngoma ni kama..
- Sayona
- Panya
- Mtoto uyo
- Achia body
- Sembe tembele
Raha ya SINGELI ni amshaamsha na kamshange mwanzo mwisho...Kipi kinakufanya uandike hizo nyimbo za mwamba ni Kali kuliko za dongo?.
Mbona nakutafta nakutext mara kibao hujibuaisee mi nilikua naumwa juu yako nilikuwa napungua damu kila nikikukumbuka
Kweli kaka...dogo nigga ndo kabali yao hao wote sema hao wengine wanabebwa na mediapower ana dude lako linaitwa mahaba niue, hilo dude yan punda afe alaf lingine ni maseke dogo ana nying sema nahis wanao msimamia ndo viande,Nganga.Am out
S.kide anakuambia ushemeji upo uwa nafurahi sana nikiusikiliza maana uwa napenda kuplay hainaga ushemeji then naweka ushemeji upo ya skide kwny playlist yngKweli kaka...
Tatizo wengi wameanza kuifuatilia SINGELI ilivyoanza kupata nguvu kwenye media...
Ila kama mtu umeanza kuifuatilia SINGELI tangu kipindi cha akina Msaga Sumu utamuona Man Fongo ni MTOTO mdogo sana kwenye game ya SINGELI...
Kwangu mimi wasanii hatari kwa SINGELI kwa sasa ni...
- Shollo Mwamba
- Dogo Nigga
- S.Kide
Ahahaaah...S.kide anakuambia ushemeji upo uwa nafurahi sana nikiusikiliza maana uwa napenda kuplay hainaga ushemeji then naweka ushemeji upo ya skide kwny playlist yng
aaa wapi sizioniMbona nakutafta nakutext mara kibao hujibu
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]aaa wapi sizioni
oya mnuno wa mwendokasi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]