101% RIGHT.....Starboy worldwide... [emoji4] [emoji4] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] he deserved it. [emoji817]
Dahhivi sory wizkid ametoa nyimbo zipi mwaka huu?
Ametoa nyingi tu zikiwemo na collabohivi sory wizkid ametoa nyimbo zipi mwaka huu?
Wiz Kid toka kitambo alikuwa tuzo anazipotezea mwaka jana akarudi hata kupost post anaposhinda na kuhudhuria tuzo.wengine hawa
huyo wizkid hata kupost hajapost.
watu wana dharau....
ila sie hatuna mda huo hata watupe tuzo chooni ilimradi inatujengea fursa tufanye makubwa ,we dont give a Fu.ck
kujifanya kuzila,kuzila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasusia tuzo...Wiz Kid toka kitambo alikuwa tuzo anazipotezea mwaka jana akarudi hata kupost post anaposhinda na kuhudhuria tuzo.
MTV Ema walipomfanyia ujinga wa kumpokonya tuzo na kumpa Kibakuli alifuta post zote za tuzo insta
Huyu AKA mara nyingi ashindagi tuzo kule S.A Cassper anamkimbiza akija Africa anakutana n wakina Davido, Diamond n Wiz hana jinsi zaidi ya kujifanya kuzila
Mahaba hayo[emoji16] [emoji16] [emoji16]duuh!
pengine ali deserve
sawa ila kwa sasa ninge pewa tuzo yyte ki afrika zaid nadhan ningempa Davido
Uko deep, ngoja nipakue hizo ngoma, [emoji109]mwaka huu wiz kid katoa wimbo zifuatazo
Sweet love
Come closee ft Drake
African bad girl ft Chris brown
Naughty Ride ft Major lazer.
Davido 2017 katoa
Fall na If
ukicheki izi tuzo wanangalia performance ya 2016 wiz kid alingara kupitia hata collabo kuliko Davido
Daddy Yo
One Dance Drake ft Wiz kid (hii ndo imembeba hadi Grammy)
D Maphorisa x
Wizkid – Good Love
Dj henry ft wiz kid like this
Davido alitoa EP yke ya Son Of Mercy ilikuwa n nyimbo 5 na zote zilibuma licha ya 3 kuzifanyie video
Gbagbe Oshi
Maga 2 Mugu ft. Simi
Coolest Kid in Africa ft Nasty C
Return
How Long ft Tinashe
Ivi meneja wa ally kiba ni nani?Hatukubali, Ali Kiba itabidi amtume meneja wake afuatile kura zilipigwa vipi!
MSANII WETU DIAMOND MBONA HAWAJAMPA HIZO TUZO...HUO NI UPENDELEO MKUBWA,INBIDI SERIKALI IINGILIE KATI ILI HAKI ITENDEKE
kwani kuna ubaya mkuu?maana diamond kaimba sana mwaka huu kuliko hata hao wengine huko nnje,inabidi tuunganishe nguvu kama taifa tumpiganie mtanzania mwenzetuHzo ni tatu tusubri akili ya nne
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ndo maanaNi Abdu Kiba