Wizkid Wins 2017 BET “Best International Act: Africa” Award

Wizkid Wins 2017 BET “Best International Act: Africa” Award

wengine hawa
ac95c1a0c89f4f38a803ab6e88ff4d5a.jpg

huyo wizkid hata kupost hajapost.
watu wana dharau....
ila sie hatuna mda huo hata watupe tuzo chooni ilimradi inatujengea fursa tufanye makubwa ,we dont give a Fu.ck
 
Kwakweli Wizkid anastahili kwasasa hakuna wa kumshinda.

Kuna kipindi Diamond aliweza kutoa upinzanzi kwa wiz lakini naona mwaka jana na huu Diamond kapoa kidogo au kajipa mambo mengi sana ya kusimamia wasanii mara pafyumu mara mambo ya uzazi.

Diamond namomba ufikiri pale ulipoishia mwaka juzi ,tunategemea nyimbo na wasanii wa nje ya Africa na pia miondoko uwe unabadili kidogo kubadilisha radha kama wizkid anavyofanya.

Kila rakheri wasanii wetu wote katika kupeperusha bendera ya bongo
 
wengine hawa
ac95c1a0c89f4f38a803ab6e88ff4d5a.jpg

huyo wizkid hata kupost hajapost.
watu wana dharau....
ila sie hatuna mda huo hata watupe tuzo chooni ilimradi inatujengea fursa tufanye makubwa ,we dont give a Fu.ck
Wiz Kid toka kitambo alikuwa tuzo anazipotezea mwaka jana akarudi hata kupost post anaposhinda na kuhudhuria tuzo.
MTV Ema walipomfanyia ujinga wa kumpokonya tuzo na kumpa Kibakuli alifuta post zote za tuzo insta

Huyu AKA mara nyingi ashindagi tuzo kule S.A Cassper anamkimbiza akija Africa anakutana n wakina Davido, Diamond n Wiz hana jinsi zaidi ya kujifanya kuzila
 
kujifanya kuzila,kuzila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasusia tuzo...
wiz mwaka jana nahisi alizirudisha zote maana sio kwa dharau ile
 
Wizkid alistahili kushinda na hao alioshindanishwa nao wako chini mno,ila DIAMOND ajipunguzie majukumu,ili mwakani na yeye awepo kwenye kinyang'anyiro maana kajitwisha mambo mengi mno kiasi anashindwa kujiangalia yeye mwenyewe.
 
mwaka huu wiz kid katoa wimbo zifuatazo
Sweet love
Come closee ft Drake
African bad girl ft Chris brown
Naughty Ride ft Major lazer.

Davido 2017 katoa
Fall na If

ukicheki izi tuzo wanangalia performance ya 2016 wiz kid alingara kupitia hata collabo kuliko Davido
Daddy Yo
One Dance Drake ft Wiz kid (hii ndo imembeba hadi Grammy)
D Maphorisa x
Wizkid – Good Love
Dj henry ft wiz kid like this

Davido alitoa EP yke ya Son Of Mercy ilikuwa n nyimbo 5 na zote zilibuma licha ya 3 kuzifanyie video
Gbagbe Oshi
Maga 2 Mugu ft. Simi
Coolest Kid in Africa ft Nasty C
Return
How Long ft Tinashe
Uko deep, ngoja nipakue hizo ngoma, [emoji109]
 
MSANII WETU DIAMOND MBONA HAWAJAMPA HIZO TUZO...HUO NI UPENDELEO MKUBWA,INBIDI SERIKALI IINGILIE KATI ILI HAKI ITENDEKE
 
Hzo ni tatu tusubri akili ya nne
kwani kuna ubaya mkuu?maana diamond kaimba sana mwaka huu kuliko hata hao wengine huko nnje,inabidi tuunganishe nguvu kama taifa tumpiganie mtanzania mwenzetu
 
Back
Top Bottom