Wizkid namuelewa sana ununda wake [emoji23][emoji23] kawapigia kimya wabaguzi wa BET,ingekua ni sisi basi muda huu heka heka pale air port na tungeandaa sherehe kabisa bado nachukia waandaji wanavyotutenga na kutoa hizi awards uchochoroni ni dharau kwa weusi wenzao