Wizkid Wins 2017 BET “Best International Act: Africa” Award

Wizkid Wins 2017 BET “Best International Act: Africa” Award

Wizdik hata huwa hazishobokei hizi tuzo za kupewa uchochoron....

Hadi sasa hajapost chochote kwenye social Media
 
Wizkid namuelewa sana ununda wake [emoji23][emoji23] kawapigia kimya wabaguzi wa BET,ingekua ni sisi basi muda huu heka heka pale air port na tungeandaa sherehe kabisa bado nachukia waandaji wanavyotutenga na kutoa hizi awards uchochoroni ni dharau kwa weusi wenzao
 
Back
Top Bottom