WMO yatoa onyo El Niño itakuwa tishio la kihistoria, tahadhari zichukuliwe mapema

Naona wanazibua mitaro ya barabara, ili mvua ikinyesha maji yapite.

Sasa sijui ni pesa za halmashauri au ni budget ya PM kuhusu majanga
Hiyo Mitaro yenye diameter (Kipenyo) futi 2- 3 kama bomba la mafuta itasaidia kweli? Wanaona shida gani kwenda kujifunza kwa wenzao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…