Wnasiasa wa Tanzania ni kama Changudoa wetu mitaani- Nimemsikia Bulaya

MchunguZI

Platinum Member
Joined
Jun 14, 2008
Posts
4,048
Reaction score
2,239
Nimemsikia Esther Bulaya, aliyehamia CCM. Nimesikiliza maneno yake ya nyuma na yale ya sasa kupitia video inayozunguka.

Ninachokiona ni kwamba Wanasiasa wa TZ ni sawa na Changudoa wetu. Hawana aibu, hawataki kazi nyingine na hata tukiwashawishi kwa namna gani, wanaamini kazi yao ni siasa, Hata kama ni kwa kujidhalilisha. Ni kama Changudoa na kazi yao ya ngono. hata uwashawishi kwa mradi gani, daima watarudi barabarani kujiuza. Aibu imewatoka.
 
Yaani bora Changudoa. Wapo wengine akina Nagu tulishawasahau! Eti nao wamechukua tena fomu.
Kweli malaya hastaafu!
 
Wakati anahamia Chadema kutoka CCM alikuwa kamanda na mpambanaji. Sasa karudi CCM baada ya kubaini alibugi stepu eti amekuwa kama changudoa. Hivi madogo siasa mnazijua kweli?
 
"Ninachokiona ni kwamba Wanasiasa wa TZ ni sawa na Changudoa wetu."

Hii ni kwa ulichokisikia kwa mmoja akaozesha wote, au Kuna wengine pia umewasikiliza?
 
Wakati anahamia Chadema kutoka CCM alikuwa kamanda na mpambanaji. Sasa karudi CCM baada ya kubaini alibugi stepu eti amekuwa kama changudoa. Hivi madogo siasa mnazijua kweli?
Siasa ni kuangalia sehemu gani nitapata nafasi ya Uongozi siasa ni kuangalia maslai yako wewe, Ata leo hii Mbowe akihaidiwa na CCM ajiunge nao na angombee Ubunge halafu apewe Uwaziri Mkuu lazima Mbowe atakubali tu. Siasa siyo chuki kwa wana siasa ila wanapandikiza chuki kwa wananchi wa Kawaida, Ata huyu Heche ana namba za Viongozi wote wa CCM na Serikalini na wanaongea vizuri na kula kunywa pamoja.
 
Nimemsikia Esther Bulaya, aliyehamia CCM. Nimesikiliza maneno yake ya nyuma na yale ya sasa kupitia video inayozunguka.

Ninachokiona ni kwamba Wanasiasa wa TZ ni sawa na Changudoa wetu. Hawana aibu, hawataki kazi nyingine na hata tukiwashawishi kwa namna gani, wanaamini kazi yao ni siasa, Hata kama ni kwa kujidhalilisha. Ni kama Changudoa na kazi yao ya ngono. hata uwashawishi kwa mradi gani, daima watarudi barabarani kujiuza. Aibu imewatoka.
Wana siasa ni sawa na Wachezaji mpira au Makocha wa mpira wa miguu wanaagalia maslahi yao binafsi.
 
Back
Top Bottom