Yaani bora Changudoa. Wapo wengine akina Nagu tulishawasahau! Eti nao wamechukua tena fomu.Nimemsikia Esther Bulaya, aliyehamia CCM. Nimesikiliza maneno yake ya nyuma na yale ya sasa kupitia video inayozunguka.
Ninachokiona ni kwamba Wanasiasa wa TZ ni sawa na Changudoa wetu. Hawana aibu, hawataki kazi nyingine na hata tukiwashawishi kwa namna gani, wanaamini kazi yao ni siasa, Hata kama ni kwa kujidhalilisha. Ni kama Changudoa na kazi yao ya ngono. hata uwashawishi kwa mradi gani, daima watarudi barabarani kujiuza. Aibu imewatoka.
Siasa ni kuangalia sehemu gani nitapata nafasi ya Uongozi siasa ni kuangalia maslai yako wewe, Ata leo hii Mbowe akihaidiwa na CCM ajiunge nao na angombee Ubunge halafu apewe Uwaziri Mkuu lazima Mbowe atakubali tu. Siasa siyo chuki kwa wana siasa ila wanapandikiza chuki kwa wananchi wa Kawaida, Ata huyu Heche ana namba za Viongozi wote wa CCM na Serikalini na wanaongea vizuri na kula kunywa pamoja.Wakati anahamia Chadema kutoka CCM alikuwa kamanda na mpambanaji. Sasa karudi CCM baada ya kubaini alibugi stepu eti amekuwa kama changudoa. Hivi madogo siasa mnazijua kweli?
Wana siasa ni sawa na Wachezaji mpira au Makocha wa mpira wa miguu wanaagalia maslahi yao binafsi.Nimemsikia Esther Bulaya, aliyehamia CCM. Nimesikiliza maneno yake ya nyuma na yale ya sasa kupitia video inayozunguka.