Wode Maya aipaisha Tanzania. Wizara ya utalii imtumie.

Wode Maya aipaisha Tanzania. Wizara ya utalii imtumie.

Kutangaza nchi kwa kuonyesha magorofa!!!! Na mitaa yenye barabara za lami!!!! Angetangaza utalii apige picha mbuga za wanyama na vivutio vya watalii vilivyoko afrika.Anachofanya ni zero hakileti fedha za kigeni kwa bara la afrika ni.mzururaji anayepiga picha mitaa na kurusha YouTube channel yake.Sioni la maana analofanya zaidi ya mipicha ya mijengo ,mibarabara mizurri nk
We mbulula hebu soma comment ya raia mmoja wa marekani aliyecomment kwenye page ya Wode Maya "Wait a minute, is that Tanzania ? I’ve never seen that beautiful city before! It looks like Seattle or Vancouver. I wish we could pay you for that amazing job you are doing. They only show Serengeti and savanna as if there are no cities". Haya njoo na povu lako tena.
 
Ni agent wa wazungu to huyo.Theme ya anavyoonyesha yaweza UA utalii.Sababu anaonyesha hivi kuwa nyie wazungu Kama kwenu Kuna maghorofa na Afrika tunayo.Anayapiga picha lakini hizo picha zina destructive image kwa watazamaji mfano unapiga jengo katikati ya jiji lenye ghorofa 20 wakati kwao wana lenye ghorofa Mia moja conclusion mtazamaji kule anayopata ni kuwa watu hao bado primitive Sana ona barabara za Kati
Kati ya mji Kama uchochoro na kwao ndio wanajiona wako juu!!!! Yeye angepiga vitu ambavyo haviko kwa wazingu mfano migodi ya madini,mbuga za wanyama, mashamba makubwa mfano ya mazao ambayo kule kwao hayapo nk.Lakini kuwaonyesha vlle vilivyoko kwao ambavyo vipo Africa naona Ni ujinga tu haisaidii Africa
Kuna watu wanakuja kuona maisha ya Watanzania, kuna watu wanakuja kuona wanyama, kuna watu wanakuja kupanda mlima, kuna watu wanakuja kuangalia semi-arid climate kwenye mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Singida na Dodoma.
Kuna watu wanakuja kutizama mawesse Kigoma na utengenezaji wake.
Kuna watu wanakuja kuangalia samaki wanaopatikana Tanzania.
Mbali nabkuchangia utalii huyu kijana anaweza kuwavutia watu waje kuwekeza kwenye tafiti na miradi mingine.
Mfano mzungu anaweza kuogopa kwamba mazingira ya Tanzania hakuna Hoteli za kuwaaccomodate lakini wakiona mazingira yalivyo wanapata imani kuja.
Mtoa mada yuko sahihi mkuu watu kama hawa lazima wapewe kipaumbele. Inabidi wapewe urahisi kwenye upatikanaji wa leseni pia mamlaka zina haki ya kukagua maudhui ili yasichafue jina la nchi yetu.
Over
 
Kutangaza nchi kwa kuonyesha magorofa!!!! Na mitaa yenye barabara za lami!!!! Angetangaza utalii apige picha mbuga za wanyama na vivutio vya watalii vilivyoko afrika.Anachofanya ni zero hakileti fedha za kigeni kwa bara la afrika ni.mzururaji anayepiga picha mitaa na kurusha YouTube channel yake.Sioni la maana analofanya zaidi ya mipicha ya mijengo ,mibarabara mizurri nk
Mbona wewe hujatangaza huo utalii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mbulula hebu soma comment ya raia mmoja wa marekani aliyecomment kwenye page ya Wode Maya "Wait a minute, is that Tanzania ? I’ve never seen that beautiful city before! It looks like Seattle or Vancouver. I wish we could pay you for that amazing job you are doing. They only show Serengeti and savanna as if there are no cities". Haya njoo na povu lako tena.
I see!!!!!!!
 
Ni agent wa wazungu to huyo.Theme ya anavyoonyesha yaweza UA utalii.Sababu anaonyesha hivi kuwa nyie wazungu Kama kwenu Kuna maghorofa na Afrika tunayo.Anayapiga picha lakini hizo picha zina destructive image kwa watazamaji mfano unapiga jengo katikati ya jiji lenye ghorofa 20 wakati kwao wana lenye ghorofa Mia moja conclusion mtazamaji kule anayopata ni kuwa watu hao bado primitive Sana ona barabara za Kati
Kati ya mji Kama uchochoro na kwao ndio wanajiona wako juu!!!! Yeye angepiga vitu ambavyo haviko kwa wazingu mfano migodi ya madini,mbuga za wanyama, mashamba makubwa mfano ya mazao ambayo kule kwao hayapo nk.Lakini kuwaonyesha vlle vilivyoko kwao ambavyo vipo Africa naona Ni ujinga tu haisaidii Africa
Bado una safari ndefu sana ya kujifunza maana ya utalii

Unadhani watalii ni wazungu pekee waafrica hawatalii nchi nyingine?
Soma comment uone jinsi wa e
Ethopia, Zambia, South Africa nk walivyohamasika kuja Tz tena mwingine amesema anakuja for honeymoon after seeing this video

Naamini kabisa Maya ameonesha kipande hiki kifupi kwasababu ya kusumbuliwa na kuwekewa vikwazo vya kuchukua videos

Naamini angeonyesha zaidi ya hapo
na nimejiuliza kama maya peke yake kwa video moja tu, fupi sana isiyo na content kubwa ameweza kuwainfluence watu wengi kiasi hicho vip kama tungemlipa na kumtumia zaidi, kumpa video zetu azirushe, tutumie na wengine kama hao.

Serikali imefumba macho
Imeziba masikio
Hivi hawaoni hizo comments kwenye hiyo video??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka awatoe upupu kichwani wazungu kwanza ndipo aende huko.

Siku zote tunawaonyesha twiga,tembo na wamasai.kitu kinachofanya jamii nyingi duniani kudhani africa kuna wamasai na tembo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ur fcking rabbit buddy[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuitangaza nchi sio sababu ya kutofuata Sheria. Afuate taratibu zote zinzotakiwa.
Umasikini mbaya sana, yaani hii nchi imekuwa utafikiri kwa mganga wa kienyeji. Masharti na sheria kibao kwenye kila kitu unaamka mpaka unalala.
 
Back
Top Bottom