Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k
Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama
Duniani huko vijana wanakiwasha kudai mabadiliko , sema protest ni jambo la kawaida ndo maana huoni kwenye media.
Uzalendo sio woga nakuogopa mabadiliko