woga na kuogopa mabadiliko vipo sambamba na watanzania

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k

Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama

Duniani huko vijana wanakiwasha kudai mabadiliko , sema protest ni jambo la kawaida ndo maana huoni kwenye media.

Uzalendo sio woga nakuogopa mabadiliko
 

Attachments

  • Screenshot_20240923-002059.jpg
    481.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240923-001252.jpg
    438.5 KB · Views: 3
nipo mbali na sehemu yatakayofanyikia maandamano lakini ningekuwa karibu hakika ningeandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…