demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Tangu niokoke moyo wangu umejaa amani ambayo hapo awali sikuwa nayo. Wala sina tena wasiwasi kuhusu ya masuala yajayo.
Naona kabisa nimejaa matumaini mapya. Hisia zinazotokana na nguvu za giza naona zimenikimbia kabisa. Niko na matumaini mazuri hizi sasa.
Asante Yesu.
Naona kabisa nimejaa matumaini mapya. Hisia zinazotokana na nguvu za giza naona zimenikimbia kabisa. Niko na matumaini mazuri hizi sasa.
Asante Yesu.