yangu around 2m na mahari bado nadaiwa mwaka wa 10 huu sijalipa!Harusi za siku hizi huku mtaani gharama zake mil 25 hadi 60, za matajiri kidogo huwa zinafika hadi 100, za matajiri sijui maana huwa hata hawasemi. Wolper kama msanii mkubwa na mkongwe Tanzania kujinadi harusi ya mil 60 akidhani ni kubwa sana ni ulimbukeni.
Harusi nilizowahi kuchangia/kwenda mimi hazijawahi kuzidi mil 15 na wanandoa wamedumu kuliko za hao wabongo movie na fleva baada ya miezi miwili wanaachana
Birthday partyMilioni 10 unafanya sherehe gani Marekani? Si USD $4000 tu?
MARA NYINGI TUNAWAITA HAWA WACHOVU WETU ^SUPER STAR" YAAN MNATIA HURUMA KUWAITA HAWA WACHOVU WETU.Je wajuwa mustakabali wa masupastaa wa bongo? Lazima ufuzu chuo kikuu cha mbwembwe za uongo..bongo dsm by prof jay
Siwaamini wasanii kabisa
Hainihusuu Mkuu mada hii watachangiaa maduuu sio sisi vdummee jamniiiView attachment 676149 Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali.
Wolper amedai kuwa ndoa hiyo inatarajia kugharimu kiasi cha shilingi milioni 60 za kitanzania, ikiwa milioni 50 kutumika kwa ajili ya harusi itayofanyika Dar huku milioni 10 kutumika harusi itayofanyika Marekani.
“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa sababu kule Marekani hatutakuwa na watu wengi sana,” alisema Wolper.
Akizungumza hayo pindi alipohojiwa na moja ya chombo cha habari mjini , Wolper amesema kuwa kwenye harusi inayotarajiwa kufanyika Marekani anatarajia kusindikizwa na wasanii wanne akiwepo Anty Ezekiel, huku wengine watatu bado hawajajulikana kwa majina yao.
‘’Wasanii ambao nitaenda nao kwa ajili ya kuhudhuria harusi yangu ni wanne tu, mmoja kati yao ni Aunt Ezekiel kwa sababu huwa ananipa sapoti kwenye biashara zangu hivyo siwezi kumwacha,” alisema Wolper
Wolper amesema kuwa gharama zote za wasanii watao msindikiza zitaakuwa juu yake yaani kuanzia usafiri wa hapa nchini hadi pesa yao ya kujikimu pindi wawapo nchini Marekani.
Dar 24
Kwahiyo wasifanye sherehe kwavile mwenzao anahitaji msaada,huyo shilole yeye kamuoa uchebe kwa pesa zake...huyo wastara nae alikua analea wanaume bdae tukasikia ni tajiri anamiliki nyumba tabata,carwash na duka la nguo sasa kimfaae mtu chake auze nyumba akatibiwe kuliko kulialia....alitibiwa na sadifa kupona tu akamtupa.aende kwa mama samia amkumbushe fadhila zao kwenye kampeni kua alikata mauno jukwaa akatonesha mguu wke kwa hiyo ccm wamtibuWastara anatembeza bakuli ili apate hela ya matibabu ilihali wasanii wengine wanatumia mamilion kwenye harusi na wengine wanatoa zawada za magari na mamilion ya pesa. Wasanii badilikeni ninyi ni kioo cha jamiii pamoja na kuburudisha pia mnaelimisha jamii. Acheni mashindano ya fedha onyesheni utu kwa mwenzenu na mtapata thawabu nyingi sana mbele za Mungu
Kampeni ilikuwa ajira na walilipwa kwa kazi yao. Aende kwa Mwakyembe maana 2020 si mbalicwatamhitaji tenaKwahiyo wasifanye sherehe kwavile mwenzao anahitaji msaada,huyo shilole yeye kamuoa uchebe kwa pesa zake...huyo wastara nae alikua analea wanaume bdae tukasikia ni tajiri anamiliki nyumba tabata,carwash na duka la nguo sasa kimfaae mtu chake auze nyumba akatibiwe kuliko kulialia....alitibiwa na sadifa kupona tu akamtupa.aende kwa mama samia amkumbushe fadhila zao kwenye kampeni kua alikata mauno jukwaa akatonesha mguu wke kwa hiyo ccm wamtibu
Hapo sawa au arudi kwa sadifa si alimtupa alipopona n maneno mengi,pia hiyo 37m anayosema ya matibabu anatibiwa nini mana hata mgonjwa wa cancer appolo kma anapigwa mionzi hamalizi hiyo pesa ni mara chache sana gharama ziwe kubwa hivyoKampeni ilikuwa ajira na walilipwa kwa kazi yao. Aende kwa Mwakyembe maana 2020 si mbalicwatamhitaji tena
Anahitaji miguu mipya nadharia na gharama za physio therapists. Kwa Sadifa hawezi kurudi wote walianikana sana mitandaoni.Hapo sawa au arudi kwa sadifa si alimtupa alipopona n maneno mengi,pia hiyo 37m anayosema ya matibabu anatibiwa nini mana hata mgonjwa wa cancer appolo kma anapigwa mionzi hamalizi hiyo pesa ni mara chache sana gharama ziwe kubwa hivyo
Miguu na kumwona specialist huko appolo ndio 37m??nauli na malazi weka 4m kwahiyo 33m ndio gharama zake au ndio na mtaji hapohapo ili akirudi apite dubai kwa shopingiiAnahitaji miguu mipya nadharia na gharama za physio therapists. Kwa Sadifa hawezi kurudi wote walianikana sana mitandaoni.
Hii CCM ya Magufuli akilipiwa hiyo hela akatambikie.Miguu na kumwona specialist huko appolo ndio 37m??nauli na malazi weka 4m kwahiyo 33m ndio gharama zake au ndio na mtaji hapohapo ili akirudi apite dubai kwa shopingii