Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni kiki tu,hamna jipyaAnaolewa kweli mbona nasikia ni kiki tu ya film yake
muoaji anaumizwa hapo ndo ajue wasanii wetu hawa tunawaweza wenyewe,ndikumana alimuona uwoya kwa mbwembwe nyingi kajifia kwa preasha dogo njanja anakula mzigo kilaini,mange aliolewa ,mbwembwe kibao km malaika jamaa kamtua marekani katosa.Kwa kipi ??? Cha kugharamia hapo.
Wanajitutumua, kujitangazaaa utadhani wana jipya! Wakijifanya kuishi maisha ya juuu kumbe wa kawaida sana sana. Maisha halisi ya mtanzania wa kawaida sana.muoaji anaumizwa hapo ndo ajue wasanii wetu hawa tunawaweza wenyewe,ndikumana alimuona uwoya kwa mbwembwe nyingi kajifia kwa preasha dogo njanja anakula mzigo kilaini,mange aliolewa ,mbwembwe kibao km malaika jamaa kamtua marekani katosa.
huyu mwche asindikizwe na mashoga kesho tu tutaskia yuko mtaani jamaa kabwaga,halafu hapo wa mtaani nao wataonja onja
City centre ofisi ni mtu alipo simama hata muhuri wa ikulu unapata hiyo haina gharama.Je wajuwa mustakabali wa masupastaa wa bongo? Lazima ufuzu chuo kikuu cha mbwembwe za uongo..bongo dsm by prof jay
Halafu baadae waje kulia kulia kama yule[emoji24] [emoji24] [emoji24]View attachment 676149 Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali.
Wolper amedai kuwa ndoa hiyo inatarajia kugharimu kiasi cha shilingi milioni 60 za kitanzania, ikiwa milioni 50 kutumika kwa ajili ya harusi itayofanyika Dar huku milioni 10 kutumika harusi itayofanyika Marekani.
“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa sababu kule Marekani hatutakuwa na watu wengi sana,” alisema Wolper.
Akizungumza hayo pindi alipohojiwa na moja ya chombo cha habari mjini , Wolper amesema kuwa kwenye harusi inayotarajiwa kufanyika Marekani anatarajia kusindikizwa na wasanii wanne akiwepo Anty Ezekiel, huku wengine watatu bado hawajajulikana kwa majina yao.
‘’Wasanii ambao nitaenda nao kwa ajili ya kuhudhuria harusi yangu ni wanne tu, mmoja kati yao ni Aunt Ezekiel kwa sababu huwa ananipa sapoti kwenye biashara zangu hivyo siwezi kumwacha,” alisema Wolper
Wolper amesema kuwa gharama zote za wasanii watao msindikiza zitaakuwa juu yake yaani kuanzia usafiri wa hapa nchini hadi pesa yao ya kujikimu pindi wawapo nchini Marekani.
Dar 24
Huyu manka nae kujisifia tu kma wastara ila mwisho wa cku hana kitu,bongo movie ni shitholeView attachment 676149 Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali.