Wolper afungukia skendo ya ushoga ya bwana'ke

Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
 
hahahahahah...duh..kazini????

kazi gani hizi?
 
Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Mkuu nasikia huyo jamaa ni made in R chuga so mnawaonea sana washikaji wa Dar sometimes.

Huyu Wolper mwenyewe nasikia anamiliki dildos za kutosha so hapo huenda wanasagana tu hao wanawake wawili waliotofautina maumbile.
 
Mapenzi na wanaojiita ma-super star wa bongo hayawezi kumuacha salama Mtoto wa Sala drama. (Dsm)

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…