PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka Dada, sisi wengine ni wa mikoani maneno ya mafumbo hatuyajui.Nina mashaka na wolper, anajihusisha na kampuni ya mawasiliano
Kazi kwako, hiyo ni code ifungueFunguka Dada, sisi wengine ni wa mikoani maneno ya mafumbo hatuyajui.
Dada code za Dar mi siziwezi,nisaidie.Kazi kwako, hiyo ni code ifungue
Kwanza mwanaume kujihusisha na uanamitindo ni dalili mbaya!!! Kwann upende kazi za kujikwatua kwatua jukwaani? Kuringia uzuri?...khaaaaaa!!!
Mkuu nasikia huyo jamaa ni made in R chuga so mnawaonea sana washikaji wa Dar sometimes.Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani