Wolper afungukia skendo ya ushoga ya bwana'ke

Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani

Wanavaa hereni cheni, wanajichubua
 
utetezi wa kipuuzi sana, kwamba alisha mwambia kuhusu izo picha. ko anakili kijanja kwamba alipiga picha za kishoga shoga (ama alikuwa shoga zamani na picha zipo)

wapuuzi wawili wamekutana
 
Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Wa mikoani mnavaa nguo zipi?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar. Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana. Wanaume wa dar badilikeni jamani
Kama ile ya kusuguliwa uso?! Sielewi kabisa, wanachonga nyusi, kusafisha kucha mikononi na miguuni! Aisee midume ya Dar siyo migumu kama za enzi za "Power Mabula"!
Wewe ukifanya yote haya kweli utaweza kupalilia nyumbani? Kufyeka majani, kuosha gari yako, kulisha kuku, mbwa, kuwa na bustani? Hata kufua nguo zako kama huna wasaidizi kweli?! Hapana aise Dar wanaume wamekuwa walaini mno, afadhali sasa Magu kafutulia mbali ubabaishaji mtaani..Kinyaa kabisa..
Mchonga angefufuka leo angerudi tena kaburini fasta, ni aibu kwa kweli..
 
~~~>>>>Vijana wa Dar nani kawaloga..... Mnagombania dressing table na dada zenu..

Ni ngumu kutofautisha mwanaume na mwanamke........ Wote ni warembo tu....
 
Bongo bwana.....yaani siku hizi kila Caitlyn Jenner (shoga) akibandikwa hadharani utamsikia nilikuwa kazini, picha hizo nilipiga wakati nafanya kazi ya umodo....yaani maneno ayasemayo Aunty Brown hayana tofauti na wenzake waliomtangulia. Anyways, hatujuwi kwanini Wolper kampenda Brown maana mademu wa kibongo siku hizi wanawashughulikia wanaume tata haswa wa Dar.
 
~~~>>>>Vijana wa Dar nani kawaloga..... Mnagombania dressing table na dada zenu..

Ni ngumu kutofautisha mwanaume na mwanamke........ Wote ni warembo tu....


Hawa hapa kina Caitlyn Jenner wa Dar, eti hapa wako wanalihamsha dude Leaders Club, usiku wanashikishwa ukuta na kina Wolper. Wanaume wa Dar uhamsho unawasumbua sana.
 
Kwanza mwanaume kujihusisha na uanamitindo ni dalili mbaya!!! Kwann upende kazi za kujikwatua kwatua jukwaani? Kuringia uzuri?...khaaaaaa!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
Anasema kuwa hizo picha alipiga akiwa kwenye kazi yake ya uanamitindo( Kazini chumbani, kisha kukumbatiana na kushikana na mwanaume mwenzako?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…