Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Aqkhuuuu babu wee. Njoo dar ukitaka ujifunze hizo codeDada code za Dar mi siziwezi,nisaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aqkhuuuu babu wee. Njoo dar ukitaka ujifunze hizo codeDada code za Dar mi siziwezi,nisaidie.
Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Poa,ila mwenyeji wangu utakuwa wewe,si ndio ???Aqkhuuuu babu wee. Njoo dar ukitaka ujifunze hizo code
Nadhani ulimaanisha ni mteja mzuri wa 0715Aqkhuuuu babu wee. Njoo dar ukitaka ujifunze hizo code
Nadhani ulimaanisha ni mteja mzuri wa 0715Aqkhuuuu babu wee. Njoo dar ukitaka ujifunze hizo code
Wa mikoani mnavaa nguo zipi?Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Kama ile ya kusuguliwa uso?! Sielewi kabisa, wanachonga nyusi, kusafisha kucha mikononi na miguuni! Aisee midume ya Dar siyo migumu kama za enzi za "Power Mabula"!Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar. Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana. Wanaume wa dar badilikeni jamani
Sana mzee kaa na wanao wakiume ongea nao kuhusu haya mamboSiku hizi watoto wa kiume wanatakiwa kulidwa zaidi kuliko wa kike
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
~~~>>>>Vijana wa Dar nani kawaloga..... Mnagombania dressing table na dada zenu..
Ni ngumu kutofautisha mwanaume na mwanamke........ Wote ni warembo tu....
Anasema kuwa hizo picha alipiga akiwa kwenye kazi yake ya uanamitindo( Kazini chumbani, kisha kukumbatiana na kushikana na mwanaume mwenzako?)Kwanza mwanaume kujihusisha na uanamitindo ni dalili mbaya!!! Kwann upende kazi za kujikwatua kwatua jukwaani? Kuringia uzuri?...khaaaaaa!!!
Post sent using JamiiForums mobile app
mapaka nimesikia harufu ya choo.Hawa hapa kina Caitlyn Jenner wa Dar, eti hapa wako wanalihamsha dude Leaders Club, usiku wanashikishwa ukuta na kina Wolper. Wanaume wa Dar uhamsho unawasumbua sana.
View attachment 544631
mapaka nimesikia harufu ya choo.