Huyu kwenye mapenzi ni very flexible:
warumiJF-Expert Member
#1
Mar 11, 2015
Joined: May 6, 2013
Messages:
11,854
Likes Received: 776
Trophy Points:
113
Huyu ndo Ilham original, tajiri wa dini, ukimsikia mwingine fekero. Ina maana pale KKKT Kijitonyama ndo basi tena hatukuoni? Umewaaibisha wenzio ujue? Si ulisemaga umerudi kundini kimoja na utakuwa mshirika Wa kudumu pale kkkt na sadaka juu ukatoa, tukapiga vigelegele wenyewe tumepata mshirika super staa, khaa!! umetuaibisha ujue?
Ulianza na Jackline, ukaja na Ilham sasa hivi tena sijui utajiita nani? Ila ningependa uitwe MWAJABU maana una mambo ya ajabu sana Dada yetu, kila mtu anapenda pesa na maisha mazuri hilo halina ubishi ila style yako imekua ya kipekee mno, najua utajitetea ooh!! Nilikuwa location hyo movie mpya Mara ooh!! Napenda hijab toka mdogo, yote utayasema wewe na zaidi, ila bahati mbaya wakina Kubenea tushapataga habari kitamboo.
Mbona mwenzio naniliu kabadilisha dini kimya kimya tu maisha yanaendelea anakula zake bata, mwenzangu na mie mdomo juu juu kama mikoba ya Moze mwisho wa siku unaaibika.