Wolper akiwa ukweni

Wolper akiwa ukweni

Now listening "Mapenzi sio masihara"-Marquis Original
 
  • Thanks
Reactions: bdo
L
13257022_255519324807036_1630954995_n.jpg

Naye Wolper alipost picha akiwa na mama mkwe na kuandika: I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu… Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe… Mjipikilishe.. Akushauri
Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu.”
Lile rundo la nguo.. nvyombo.... ataisoma
 
Why Wamachinga wafupi Sana? huyo lazima alishwe sana Samaki Nchanga
 
Haaahahhah dunia ina vituko sana
 
Mapenzi ya siku hizi taabu tupu. Eti mmejuana wiki moja tu tayari ushapelekwa kwa wakwe na matembele unapika.
 
Hayo maswaibu wengi wamepitia, shida ni kuwa wengi siyo mastaa, hivyo maisha yao hayaanikwi hadharani kama mastaa, lakini mastaa nao ni binadamu, wanakua, wanafanya makosa, wanafunzwa na ulimwengu, wanatapeliwa kimapenzi kama weeengi humu ndani, shida na tabu maisha yao binafsi yapo hadharani na kwenye kideo ya mimacho yetu, inabidi ikifika hatua hawa watu lazima wafanye maamuzi mazito kwa mustakabali wa maisha yao ya baadaye.
 
Bongo movie at its best.
Huyu kwenye mapenzi ni very flexible:
warumiJF-Expert Member
#1
Mar 11, 2015

Joined: May 6, 2013
Messages: 11,854

Likes Received: 776

Trophy Points: 113
Huyu ndo Ilham original, tajiri wa dini, ukimsikia mwingine fekero. Ina maana pale KKKT Kijitonyama ndo basi tena hatukuoni? Umewaaibisha wenzio ujue? Si ulisemaga umerudi kundini kimoja na utakuwa mshirika Wa kudumu pale kkkt na sadaka juu ukatoa, tukapiga vigelegele wenyewe tumepata mshirika super staa, khaa!! umetuaibisha ujue?

Ulianza na Jackline, ukaja na Ilham sasa hivi tena sijui utajiita nani? Ila ningependa uitwe MWAJABU maana una mambo ya ajabu sana Dada yetu, kila mtu anapenda pesa na maisha mazuri hilo halina ubishi ila style yako imekua ya kipekee mno, najua utajitetea ooh!! Nilikuwa location hyo movie mpya Mara ooh!! Napenda hijab toka mdogo, yote utayasema wewe na zaidi, ila bahati mbaya wakina Kubenea tushapataga habari kitamboo.

Mbona mwenzio naniliu kabadilisha dini kimya kimya tu maisha yanaendelea anakula zake bata, mwenzangu na mie mdomo juu juu kama mikoba ya Moze mwisho wa siku unaaibika.
 
Hahahahaha warumi hyu ktk ubora wke!!!!ila hpa tom boy ndo anapoharibu atabadili mara ngapi!???ajitafakari ktk hili mpnz yasimyumbishe iman yke afu bado anasafari ndefu!!!kweli usanii shida!!!!
 
Back
Top Bottom