Wolper akiwa ukweni

Tatizo mapedeshee yalishawamaliza wote, sasa hivi hayakamati ndiomana wameamua kujisalimisha kwa hivi viserengeti boys ambavyo bado havijausoma mchezo.
 
Mwanam mbona naona banda.Kwa hiyo wp.Alilala hapo.Pasipo na madirisba
 
Eti mnasemaje .
Kumbe Mbongo Movie eeeh.
I got your back.
 
Why Wamachinga wafupi Sana? huyo lazima alishwe sana Samaki Nchanga
Unajua watu wanachanganya sana. Na wengi labda hawajafika Mtwara au wanasikia tu stori. Ukweli ufuatao unafafanua kiufupi tu kuhusu Mtwara.
Kwanza ni kweli Panya huliwa na BAADHI ya Wananchi wa Mkoa Wa Mtwara. Ni baadhi kwa sababu ni watu wachache sana. Kwa upande wa Wamakonde, hawa wako katika Makundi matatu hivi. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Bara. Hawa hupatikana Newala na Tandahimba. Asilimia 99.99 ni Waislam na KATU hawali siyo hao Panya tu bali hata Nguruwe haiguswi.

Aina ya pili ya Wamakonde ni wale wa Pwani wakiitwa ni WAMALABA. Hawa hupatikana Maeneo ya Pwani ambayo ni Mtwara Mjini na Mtwara Vijijini. Hawa kimakonde chao huvuta na maneno yake ya Kimakonde yanatumia Kiswahili Broken, na utakitofautisha na kiswahili kwa sababu ya lafudhi tu. Hawa nao 99.99% ni Waislam na ni kwa ukweli huu ambapo miaka ambayo mimi nimeishi Mtwara mjini hakukuwahi kuwepo hata BUCHA LA NGURUWE, kama zipo ni miaka hii. Hawa ni Waislam na kamwe hawawezi kula uchafu kama Panya na NGURUWE-NEVER.
Kundi la tatu ni Wamakonde kutoka Msumbiji(Wana Mtwara wanawaita ni wamawia-jina hilo linawakera) . Wengi wa hawa wapo Mtwara zote na ni Wakristo. Kiukweli hawa huwa wanakula nyama nyingi kwa kweli. Fungo, Nguruwe, Kima, Kenge nk. Lakini wengine baada ya kulowea Tanzania wamebadili dini na kuwa Waislam na wengine bado ni Wakristo lakini hawali wadudu labda nguruwe tu.
Kuna kabila la Wamakua webgi ni Wakristo na Waislam pia lakini baadhi. Hawa ukienda pale Ndanda Mkorosho Haramu kuna Jiko kabisa la Panya. Lakini Panya hao hawaliwi na Waislam Wamakua Aslan

Sasa nikija kwa Harmonize ni Muislam, na HAKUNA MUISLAM yeyote Mkoa wa Mtwara anaekula Panya wala Nguruwe.
 
Mh! Ume egemea kwenye udini wewe kwa hiyo hao Wamakonde wenye ukristo ndio wanao kula uchafu wa panya na nguruwe kama ulivo nadi? Sasa una mshauri nini huyo nduguyo kuhusu huyo shemeji yenu hali huo uchafu? wakati anapewa denda hovyo hovyo, Haramu kwako halali kwa mwenzio ni kuheshimiana tu, maana huo uchafu(nguruwe) wapo wa dini yako pia wana ushiriki ila tuna stahiana tu.
 
Najua mkuu, lengo kuu nilitaka kuweka kumbukumbu sawa hasa kuhusu tamaduni na jinsi ya mgawanyo wa wamakonde walivyo na hasa inapofika ulaji wa hicho kiitwacho Samaki Nchanga. Kwa kuanzia nilitaka kuweka bayana hulka za dini za wenyeji wa kule na jinsi ya ulaji wa mboga/kitoweo ulivyo. Na kwa ukweli ule inadhihirika kuwa hao panya kwa kuweka andiko simple ni kuwa huliwa na watu wachache kadri ya ukweli ulivyo. Mwenyeji wa Mtwara Mjini, Newala, Mtwarara Vijijini na Tandahimba ambaye ni Mtanzania Original, KAMWE HALI PANYA! Na anaweza kula NOAH akiwa ni wa dini nyingine, lakini siyo Panya. Wale wenye asili ya nchi jirani hasa wale wa UMRI wa zamani wao hutumia. Lakini hata hivyo kizazi chao kilichoanza kuadopt mila za Kitanzania nao sasa wameacha. Ukweli huu nausema na kama kuna mtu yuko Mtwara ni mwenyeji wa mkoa mwingine ila kalowea Mtwara aweza kuthibitisha haya niliyoyaandika!
 
so,kadata na mmakonde wa watu na yupo tayari kubadili dini naona
 
uigizaji mzuri bana,,,hapo matendo yake kama kweli kumbe anaigiza
 
Kumbe Mmawia anakula panya.
 
Wasanii bana wanaanzaga mahusiano kwa mbwembwe wakati inajulikana kabisa kua ni mbio za sakafuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…