tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
mi nafikiri kajifunza kwa anty ezekielmapedeshee hawaoi sahizi biashara ya unga maghufuli kabana acha wolper atulie na dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nafikiri kajifunza kwa anty ezekielmapedeshee hawaoi sahizi biashara ya unga maghufuli kabana acha wolper atulie na dogo
wote wanaenjoy, unajua harmonize bado ni dogo ka hiyo bado ana nguvu saana kitandaniYaani sijui ni nani anafaidi zaidi? Story wakikaa sijui zinapanda. Any way, waache wainjoy.
Mwanam mbona naona banda.Kwa hiyo wp.Alilala hapo.Pasipo na madirisba![]()
Naye Wolper alipost picha akiwa na mama mkwe na kuandika: I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu… Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe… Mjipikilishe.. Akushauri
Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu.”
Ata voda wamezindua mtandao wa 4gYani hatariHuyu dogo atakua aliipiga ile 'G' spot hatareeeee.
Unajua watu wanachanganya sana. Na wengi labda hawajafika Mtwara au wanasikia tu stori. Ukweli ufuatao unafafanua kiufupi tu kuhusu Mtwara.Why Wamachinga wafupi Sana? huyo lazima alishwe sana Samaki Nchanga
Atakuwa na arubaini flani hivi ila atakuambia 27.Kwani Wolper ana miaka mingapi?
Mh! Ume egemea kwenye udini wewe kwa hiyo hao Wamakonde wenye ukristo ndio wanao kula uchafu wa panya na nguruwe kama ulivo nadi? Sasa una mshauri nini huyo nduguyo kuhusu huyo shemeji yenu hali huo uchafu? wakati anapewa denda hovyo hovyo, Haramu kwako halali kwa mwenzio ni kuheshimiana tu, maana huo uchafu(nguruwe) wapo wa dini yako pia wana ushiriki ila tuna stahiana tu.Unajua watu wanachanganya sana. Na wengi labda hawajafika Mtwara au wanasikia tu stori. Ukweli ufuatao unafafanua kiufupi tu kuhusu Mtwara.
Kwanza ni kweli Panya huliwa na BAADHI ya Wananchi wa Mkoa Wa Mtwara. Ni baadhi kwa sababu ni watu wachache sana. Kwa upande wa Wamakonde, hawa wako katika Makundi matatu hivi. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Bara. Hawa hupatikana Newala na Tandahimba. Asilimia 99.99 ni Waislam na KATU hawali siyo hao Panya tu bali hata Nguruwe haiguswi.
Aina ya pili ya Wamakonde ni wale wa Pwani wakiitwa ni WAMALABA. Hawa hupatikana Maeneo ya Pwani ambayo ni Mtwara Mjini na Mtwara Vijijini. Hawa kimakonde chao huvuta na maneno yake ya Kimakonde yanatumia Kiswahili Broken, na utakitofautisha na kiswahili kwa sababu ya lafudhi tu. Hawa nao 99.99% ni Waislam na ni kwa ukweli huu ambapo miaka ambayo mimi nimeishi Mtwara mjini hakukuwahi kuwepo hata BUCHA LA NGURUWE, kama zipo ni miaka hii. Hawa ni Waislam na kamwe hawawezi kula uchafu kama Panya na NGURUWE-NEVER.
Kundi la tatu ni Wamakonde kutoka Msumbiji(Wana Mtwara wanawaita ni wamawia-jina hilo linawakera) . Wengi wa hawa wapo Mtwara zote na ni Wakristo. Kiukweli hawa huwa wanakula nyama nyingi kwa kweli. Fungo, Nguruwe, Kima, Kenge nk. Lakini wengine baada ya kulowea Tanzania wamebadili dini na kuwa Waislam na wengine bado ni Wakristo lakini hawali wadudu labda nguruwe tu.
Kuna kabila la Wamakua webgi ni Wakristo na Waislam pia lakini baadhi. Hawa ukienda pale Ndanda Mkorosho Haramu kuna Jiko kabisa la Panya. Lakini Panya hao hawaliwi na Waislam Wamakua Aslan
Sasa nikija kwa Harmonize ni Muislam, na HAKUNA MUISLAM yeyote Mkoa wa Mtwara anaekula Panya wala Nguruwe.
Najua mkuu, lengo kuu nilitaka kuweka kumbukumbu sawa hasa kuhusu tamaduni na jinsi ya mgawanyo wa wamakonde walivyo na hasa inapofika ulaji wa hicho kiitwacho Samaki Nchanga. Kwa kuanzia nilitaka kuweka bayana hulka za dini za wenyeji wa kule na jinsi ya ulaji wa mboga/kitoweo ulivyo. Na kwa ukweli ule inadhihirika kuwa hao panya kwa kuweka andiko simple ni kuwa huliwa na watu wachache kadri ya ukweli ulivyo. Mwenyeji wa Mtwara Mjini, Newala, Mtwarara Vijijini na Tandahimba ambaye ni Mtanzania Original, KAMWE HALI PANYA! Na anaweza kula NOAH akiwa ni wa dini nyingine, lakini siyo Panya. Wale wenye asili ya nchi jirani hasa wale wa UMRI wa zamani wao hutumia. Lakini hata hivyo kizazi chao kilichoanza kuadopt mila za Kitanzania nao sasa wameacha. Ukweli huu nausema na kama kuna mtu yuko Mtwara ni mwenyeji wa mkoa mwingine ila kalowea Mtwara aweza kuthibitisha haya niliyoyaandika!Mh! Ume egemea kwenye udini wewe kwa hiyo hao Wamakonde wenye ukristo ndio wanao kula uchafu wa panya na nguruwe kama ulivo nadi? Sasa una mshauri nini huyo nduguyo kuhusu huyo shemeji yenu hali huo uchafu? wakati anapewa denda hovyo hovyo, Haramu kwako halali kwa mwenzio ni kuheshimiana tu, maana huo uchafu(nguruwe) wapo wa dini yako pia wana ushiriki ila tuna stahiana tu.
Yuko Area mazeeHivi ndio kama yuko location hapo dah!
Living in imaginationNdo faida ya kuwa mwigizaji hiyo!
Kumbe Mmawia anakula panya.Unajua watu wanachanganya sana. Na wengi labda hawajafika Mtwara au wanasikia tu stori. Ukweli ufuatao unafafanua kiufupi tu kuhusu Mtwara.
Kwanza ni kweli Panya huliwa na BAADHI ya Wananchi wa Mkoa Wa Mtwara. Ni baadhi kwa sababu ni watu wachache sana. Kwa upande wa Wamakonde, hawa wako katika Makundi matatu hivi. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Bara. Hawa hupatikana Newala na Tandahimba. Asilimia 99.99 ni Waislam na KATU hawali siyo hao Panya tu bali hata Nguruwe haiguswi.
Aina ya pili ya Wamakonde ni wale wa Pwani wakiitwa ni WAMALABA. Hawa hupatikana Maeneo ya Pwani ambayo ni Mtwara Mjini na Mtwara Vijijini. Hawa kimakonde chao huvuta na maneno yake ya Kimakonde yanatumia Kiswahili Broken, na utakitofautisha na kiswahili kwa sababu ya lafudhi tu. Hawa nao 99.99% ni Waislam na ni kwa ukweli huu ambapo miaka ambayo mimi nimeishi Mtwara mjini hakukuwahi kuwepo hata BUCHA LA NGURUWE, kama zipo ni miaka hii. Hawa ni Waislam na kamwe hawawezi kula uchafu kama Panya na NGURUWE-NEVER.
Kundi la tatu ni Wamakonde kutoka Msumbiji(Wana Mtwara wanawaita ni wamawia-jina hilo linawakera) . Wengi wa hawa wapo Mtwara zote na ni Wakristo. Kiukweli hawa huwa wanakula nyama nyingi kwa kweli. Fungo, Nguruwe, Kima, Kenge nk. Lakini wengine baada ya kulowea Tanzania wamebadili dini na kuwa Waislam na wengine bado ni Wakristo lakini hawali wadudu labda nguruwe tu.
Kuna kabila la Wamakua webgi ni Wakristo na Waislam pia lakini baadhi. Hawa ukienda pale Ndanda Mkorosho Haramu kuna Jiko kabisa la Panya. Lakini Panya hao hawaliwi na Waislam Wamakua Aslan
Sasa nikija kwa Harmonize ni Muislam, na HAKUNA MUISLAM yeyote Mkoa wa Mtwara anaekula Panya wala Nguruwe.
Inavyoelekea Wolper and the so called mama mkwe wamepishana kidogo tu kama 5yrs hivi.