Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mapenzi ya siku hizi taabu tupu. Eti mmejuana wiki moja tu tayari ushapelekwa kwa wakwe na matembele unapika.
Tatizo mapedeshee yalishawamaliza wote, sasa hivi hayakamati ndiomana wameamua kujisalimisha kwa hivi viserengeti boys ambavyo bado havijausoma mchezo.
Nakujibu, ukienda pale Ndanda, kuna sehemu maarufu panaitwa ni MKOROSHO HARAMU. kwa mara ya kwanza nilipoenda huko mwaka 1996 nilishuhudia kwa macho yangu wakiuzwa hadharani, jambo ambalo nilikua siamini.CHAZA, Masasi wapo kabila gani? Wanakula panya ama hawali?
Kipenda kihoroHivi hakuna wasichana TZ, kila mtu anayepata umaarufu kidogo anachukua wamama watu wazima wabongo movie eti wachumba, watu wameburuza wee kipindi huna kitu, ukipata viela tu unakimbilia kwa hao hao, mbona watoto wapo wazuri sana sasa hivi. "au ndo kipenda roho?"
Hahahah [emoji12] [emoji12]Huyu dogo atakua aliipiga ile 'G' spot hatareeeee.
Wote wapo above 18 (the age of majority) hakuna kosa kisheria, zimebaki hisia, visa na chuki. Huwezi kudhibiti mitazamo ya watu. Mwache apakue tu.Kwani wolper ana umri gani na harmonize ana umri gani naye?
Kweli naona anaigiza maisha huwezi kuishi huko mwiezi miwili atapauka that's kijijijniNdo faida ya kuwa mwigizaji hiyo!
"kiumbe akikushika ni matatizo....hayana dawa" - Marquis OriginalNow listening "Mapenzi sio masihara"-Marquis Original
Panya kaharamishwa aya gani ya quran.Unajua watu wanachanganya sana. Na wengi labda hawajafika Mtwara au wanasikia tu stori. Ukweli ufuatao unafafanua kiufupi tu kuhusu Mtwara.
Kwanza ni kweli Panya huliwa na BAADHI ya Wananchi wa Mkoa Wa Mtwara. Ni baadhi kwa sababu ni watu wachache sana. Kwa upande wa Wamakonde, hawa wako katika Makundi matatu hivi. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Bara. Hawa hupatikana Newala na Tandahimba. Asilimia 99.99 ni Waislam na KATU hawali siyo hao Panya tu bali hata Nguruwe haiguswi.
Aina ya pili ya Wamakonde ni wale wa Pwani wakiitwa ni WAMALABA. Hawa hupatikana Maeneo ya Pwani ambayo ni Mtwara Mjini na Mtwara Vijijini. Hawa kimakonde chao huvuta na maneno yake ya Kimakonde yanatumia Kiswahili Broken, na utakitofautisha na kiswahili kwa sababu ya lafudhi tu. Hawa nao 99.99% ni Waislam na ni kwa ukweli huu ambapo miaka ambayo mimi nimeishi Mtwara mjini hakukuwahi kuwepo hata BUCHA LA NGURUWE, kama zipo ni miaka hii. Hawa ni Waislam na kamwe hawawezi kula uchafu kama Panya na NGURUWE-NEVER.
Kundi la tatu ni Wamakonde kutoka Msumbiji(Wana Mtwara wanawaita ni wamawia-jina hilo linawakera) . Wengi wa hawa wapo Mtwara zote na ni Wakristo. Kiukweli hawa huwa wanakula nyama nyingi kwa kweli. Fungo, Nguruwe, Kima, Kenge nk. Lakini wengine baada ya kulowea Tanzania wamebadili dini na kuwa Waislam na wengine bado ni Wakristo lakini hawali wadudu labda nguruwe tu.
Kuna kabila la Wamakua webgi ni Wakristo na Waislam pia lakini baadhi. Hawa ukienda pale Ndanda Mkorosho Haramu kuna Jiko kabisa la Panya. Lakini Panya hao hawaliwi na Waislam Wamakua Aslan
Sasa nikija kwa Harmonize ni Muislam, na HAKUNA MUISLAM yeyote Mkoa wa Mtwara anaekula Panya wala Nguruwe.
ha ha hawote wanaenjoy, unajua harmonize bado ni dogo ka hiyo bado ana nguvu saana kitandani
tuambie ww amehalalishwa aya gani ?Panya kaharamishwa aya gani ya quran.
Panya ni halali ili mradi wakati wa kumchinja umwelekeze qibratuambie ww amehalalishwa aya gani ?
ha ha ha ah ah a ha ha ha ah nikikukamata ntakuchapa vibaya mno lol.Iv huyu dada hazeeki? manake zama zote yupo, zama za mawe za mwanzo za kati za chuma duh!