Wolper akiwa ukweni

Wolper akiwa ukweni

Vizuri sana sababu lazima anajua kupenda na kujali kizaidi sana sasa hivi.
 
kaaz kweli kweli,badala ya dogo kuvamia mashangingi..angeboresha kwanza home
 
Tatizo mapedeshee yalishawamaliza wote, sasa hivi hayakamati ndiomana wameamua kujisalimisha kwa hivi viserengeti boys ambavyo bado havijausoma mchezo.
75c5b8713ab3c0e9ab67bc4980e44e41.jpg
 
MJUE KWA UFUPI HARMONIZE, MSANII KUTOKA WCB, MACHINGA ALIYEGEUKA STAA



Rajabu Abdul ( Hermonize ) Alifika jijini Dae es Salaam mwaka 2009 alipohitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondali Mkundi iliyopo Mtwara, baada ya kuwasili Dar akuwa na shughuli ya kufanya na kujikita katika Uuzaji wa chai Kariakoo na baadaye alifanya biashara Umachinga wa nguo na vitu mbalimbali.


Harmonize alianza harakati za musiki mwaka 2011 alishawai recodi studio lakini nyimbo zake azikuwa na ubora wa kupeleka katika vituo vya redio na kusambaza kwa watu,, kwa miaka mine aliyo ingia katika masuala ya muziki ili muwezesha kujifunza kiasi pamoja na kubanwa na biashara zake alishindwa kujisimamia vizuri katika mambo ya muziki,

Harmonize akukata tama alianza kutafuta Meneja kwa kumsimamia kazi zake miaka miwili kabla ya kukutana na Uwongozi wa WCB na kumpokea miezi sita iliyo pita,


“ Nimesha rekodi nyimbo nyingi ndani ya lebo ya Wasafi nimeona nianze kwanza na Aiyola huu uwe mwanzo wangu, pia nimejifunza vitu vingi kutoka kwa lebo ya Wasafi asa kutoka kwa msanii Diamond Platnumz “


Lakini kwa upande wa historia hii inafanana nay a meneja wake Diamond ambae nae amepitia maisha machache kama ya Harmonize, ambapo nae Alisha itoa na wengi wanaifahamu, so kwakuona umuimu wa kusaidia vijana wengi ndio mana akafungua studio nyumbani kwake na kuweza kutoa vipaji so nizamu ya watanzania wenyevipaji kutumia fursa hii kutambulika tuweze pata wapili baada ya Harmonize

Nimekuweke Maneno ya wimbo huo ili uweze kuuwelewa tizama hapo juu.
 
Ukiwa msanii raha sana hata pasipotakiwa kuigiza we unaigiza tu na watu wanaweza wasijue kama unaigiza au ndio kweli!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
CHAZA, Masasi wapo kabila gani? Wanakula panya ama hawali?
Nakujibu, ukienda pale Ndanda, kuna sehemu maarufu panaitwa ni MKOROSHO HARAMU. kwa mara ya kwanza nilipoenda huko mwaka 1996 nilishuhudia kwa macho yangu wakiuzwa hadharani, jambo ambalo nilikua siamini.

Namalizia kwa kukujibu YES, wanakula BAADHI yao. Lakini kwa Wakaz WENYEJI wa mkoa wa Mtwara,ni MASASI tu. Sasa Harmonize ni mmakonde, hivyo hawez kuwa anakula hayo mavitu. Mkoa mzima ni Masasi tu nmeona jambo hilo katika Wilaya zote 6.

Hata hivyo, ukweli huu naurudia, hata huko Masasi, Wamakua au Wayao ambao ni WAISLAM hawatumii hiyo kitu, ukweli huu nausema na muulizr mtu yeyote atathibitisha jambo hili!
 
Hivi hakuna wasichana TZ, kila mtu anayepata umaarufu kidogo anachukua wamama watu wazima wabongo movie eti wachumba, watu wameburuza wee kipindi huna kitu, ukipata viela tu unakimbilia kwa hao hao, mbona watoto wapo wazuri sana sasa hivi. "au ndo kipenda roho?"
 
Hivi hakuna wasichana TZ, kila mtu anayepata umaarufu kidogo anachukua wamama watu wazima wabongo movie eti wachumba, watu wameburuza wee kipindi huna kitu, ukipata viela tu unakimbilia kwa hao hao, mbona watoto wapo wazuri sana sasa hivi. "au ndo kipenda roho?"
Kipenda kihoro
 
Unajua watu wanachanganya sana. Na wengi labda hawajafika Mtwara au wanasikia tu stori. Ukweli ufuatao unafafanua kiufupi tu kuhusu Mtwara.
Kwanza ni kweli Panya huliwa na BAADHI ya Wananchi wa Mkoa Wa Mtwara. Ni baadhi kwa sababu ni watu wachache sana. Kwa upande wa Wamakonde, hawa wako katika Makundi matatu hivi. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Bara. Hawa hupatikana Newala na Tandahimba. Asilimia 99.99 ni Waislam na KATU hawali siyo hao Panya tu bali hata Nguruwe haiguswi.

Aina ya pili ya Wamakonde ni wale wa Pwani wakiitwa ni WAMALABA. Hawa hupatikana Maeneo ya Pwani ambayo ni Mtwara Mjini na Mtwara Vijijini. Hawa kimakonde chao huvuta na maneno yake ya Kimakonde yanatumia Kiswahili Broken, na utakitofautisha na kiswahili kwa sababu ya lafudhi tu. Hawa nao 99.99% ni Waislam na ni kwa ukweli huu ambapo miaka ambayo mimi nimeishi Mtwara mjini hakukuwahi kuwepo hata BUCHA LA NGURUWE, kama zipo ni miaka hii. Hawa ni Waislam na kamwe hawawezi kula uchafu kama Panya na NGURUWE-NEVER.
Kundi la tatu ni Wamakonde kutoka Msumbiji(Wana Mtwara wanawaita ni wamawia-jina hilo linawakera) . Wengi wa hawa wapo Mtwara zote na ni Wakristo. Kiukweli hawa huwa wanakula nyama nyingi kwa kweli. Fungo, Nguruwe, Kima, Kenge nk. Lakini wengine baada ya kulowea Tanzania wamebadili dini na kuwa Waislam na wengine bado ni Wakristo lakini hawali wadudu labda nguruwe tu.
Kuna kabila la Wamakua webgi ni Wakristo na Waislam pia lakini baadhi. Hawa ukienda pale Ndanda Mkorosho Haramu kuna Jiko kabisa la Panya. Lakini Panya hao hawaliwi na Waislam Wamakua Aslan

Sasa nikija kwa Harmonize ni Muislam, na HAKUNA MUISLAM yeyote Mkoa wa Mtwara anaekula Panya wala Nguruwe.
Panya kaharamishwa aya gani ya quran.
 
Jackie anajua kupenda. Ila kinacho muangusha anaacha moyo wake utawale kwa 100% na siyo kichwa chake.
 
Back
Top Bottom