Wolper alia madeni

Wolper alia madeni

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
f0dd3de6bc80732d09581f866c93bd57.jpg
Muigizaji kutoka kiwanda cha bongo movie, jackline wolper ,kupitia ukurasa wake wa instagram, amewaomba radhi followers wake kwa kupost sana biashara hku akidai madeni yamekua mengi sana hivyo anakazana kutafuta pesa alipe..
 
Dallas +jack pemba + mkongo+ kigogo +................ watamlipia
 
Unapozoea kula vya bure afu ghafla sponsors wakate mkia lazima uchanganyikiwe...
 
Kamiss kuonekana kwenye magazeti ya udaku. Inadaiwa nchi sembuse wolper aone kitu cha ajabu kudaiwa.
Awa wasanii kiki ndo inawaweka mjini. Au anatafuta danga indirectly
 
Aongee vizuri na wadau.. Madeni mbona yanasameheka...
 
Back
Top Bottom