Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Nanyie wanawake wa mikoani mnafanywaje?
KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
Ni kweli lkn kwa fasiri zetu kupiga na kula ukakimbia ni sawa tuhivi ni hit and run au eat and run,,maana wana jf mnanichanga!!!
Dogo hamkojozi
KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
Dah afadhali kamwachia maana alikuwa anambemenda kama kaka yake anavyobemendwa na mganda
Kaachwa Meek Mills with net worth 12m $ ndio itakuwa Chinga Boy ndio kwanza kanunua kiwanja cha miguu 30 kwa 30 juzi huko mavurunza.
KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwanini mkuu??True that
Ila hamonize kafaidi sana
WBC wanapenda sana drama..WCB wanapenda wamama...
Wanamuiga kaka yao
Alikua na yy anajiandaa kupost... kuchek bando limeisha..akaamua kumtuma dogo vocha shop, ile anaweka bando tu anakuta amepostiwa kuwa kaachwa... basi ikabidi awe mpole maana dogo alieenda shop kumchukulia vocha ili apost instagram kwamba kamuacha wolper ndo alimchelewesha, basi ikabidi ijulikane hivo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]ilitakiwa harmonize ashtukie mchezo amuwahi
HahahajaAlikua na yy anajiandaa kupost... kuchek bando limeisha..akaamua kumtuma dogo vocha shop, ile anaweka bando tu anakuta amepostiwa kuwa kaachwa... basi ikabidi awe mpole maana dogo alieenda shop kumchukulia vocha ili apost instagram kwamba kamuacha wolper ndo alimchelewesha, basi ikabidi ijulikane hivo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]