Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Nilijua bongo movie tu yaleyale ya akina Nuh mziwanda wanachukua mama zao, wakiambiwa wanatokwa povu, wakiachana wanatunga nyimbo Mara jike shupa et al
Nasubiri nyimbo ya vijembe atakayotoa harmonize juu ya kuachana na wolper najua itakuja tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkataba wa kumpaisha harmo umeisha. Akipata mwingine atamuweka. MUJINI KILA KITU HELA
 
ilitakiwa harmonize ashtukie mchezo amuwahi
Alikua na yy anajiandaa kupost... kuchek bando limeisha..akaamua kumtuma dogo vocha shop, ile anaweka bando tu anakuta amepostiwa kuwa kaachwa... basi ikabidi awe mpole maana dogo alieenda shop kumchukulia vocha ili apost instagram kwamba kamuacha wolper ndo alimchelewesha, basi ikabidi ijulikane hivo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hahahaja
 
Eti mmakomde na mchaga wapi na wapi?! Alivyokua anakalia dushe hakujua kama jamaa ni mmakonde. Huyu dada anajishushia hadhi Sana
 
Back
Top Bottom